INAUMA JIFANYE HUJUI ,MKE MSOMI YUKOJE?

INAUMA JIFANYE HUJUI ,MKE MSOMI YUKOJE?

Nteko

Senior Member
Joined
Mar 16, 2019
Posts
108
Reaction score
99
Tuliopitia maisha ya shule za bweni tunajua .
Binti anaingia boarding ya me /ke

Akiwa form two anapata mume wake wa kidato cha tatu ,yule mume au boy friend akimaliza form 4 anapata mume mume mwingine, hadi naye binti anamaliza form 4

Akimaliza secondary wengi wanaenda vyuo kwani high school anashindwa automatically kwa tabia hizo

Akifika chuo anaanza na dume lingine
Hadi anamaliza ,chuo hakosi midume mitatu .

Akimaliza chuo anapata ajira ,sasa akiolewa ,na ww hesabu we mume wa ngapi?

Ukweli binti wa shule ,unakuja kuoa ,mke wa wenzako,

Ushauri ,ukimuoa acha wivu ,wenzio walishapita sana,we jari maendeleo na maisha ya baadaye.
 
Ukweli unauma ilabunadumu,na wengi hawapendi kuusikia


***Gusa unukie****
 
Nataka ujue tu kuwa hakuna mke wako ambaye Mungu alitaka uoe ,daima daima tunaoa wake,waliotalikiwa ndio maana ufuska hauishi
 
....Kiukweli kabisa usiofichika kuoa wanawake wanaopitia vyuoni kuna asilimia kubwa sana ya kuoa mke wa mtu au mke alieachika (mjane) au mbaya zaid unaweza ukaoa ata mama wa marehemu fulani (ke aliyetoa mimba) ila wapo ambao hawana ayo mambo ila ni wachache sana...
 
Walau huyu wa nyumbani unaweza kwenda hospitality kupima bikra

Wachuo ukitakahilo ,akitaka mupime ukimwi mwambie unaomba mucheki bikra atakimbia !!!!
 
Aliyeachwa= mtalikiwa/mtalaka
Aliyefiwa=mjane
....Kiukweli kabisa usiofichika kuoa wanawake wanaopitia vyuoni kuna asilimia kubwa sana ya kuoa mke wa mtu au mke alieachika (mjane) au mbaya zaid unaweza ukaoa ata mama wa marehemu fulani (ke aliyetoa mimba) ila wapo ambao hawana ayo mambo ila ni wachache sana...
 
Kweli kabisa 100%. Kuna mabinti wa chuo fulani niliwaoa mara tatu ndani ya 4yrs! Halafu wote watatu ni walokole wa kulala na bible kitandani.
Kwanza anaingia na bible na kulala nayo kitandani, akienda likizo akarudi semester ya pili inahamia mezani, semester ya tatu bible inahamia kwenye begi, baada ya hapo akienda likizo bible na ulokole vyote anaviacha huko.

Mbaya zaidi kila niliyeachana naye aliolewa kwa bwana mwingine ndani ya mwezi mmoja tu! Halafu muda wote michepuko na madanga walikuwa nayo ya kuwatosha.

Mmoja nilishika simu yake na kugundua ni kocha wa wachoropoa mimba wa kwao! Yaani mabinti kibao wa mtaani kwao wanamuomba awaelekeze namna ya kutoa mimba, anawatiririkia maelekezo kama vile ni daktari bingwa wa hilo zoezi. Halafu ukicheki binti mwenyewe mlokole hatari, kila wakati ananilaumu kwamba nimemuingiza dhambini nikawa namcheki tu nasema hiiiiiiiiiiii!

Leo hii mtu anaoa anatamba kaopoa msomi, mabaharia tunawachora tu.
 
Kuna mumomonyoko wa maadili takwimu zinasema kwa hapa Tz Pemba hadi binti wa miaka 20 wapo mabikra asilimia60


Nchi za Asia mabinti wengi ni mabikra pamoja na kuwa badobwako vyuo vikuu

Africa mabikra ni shida kweli !! Pamoja na kuwa watu hususa mabinti wengi eti wameokoka tangia form 1
 
uzuri ni kwamba K haiishi utamu ht ikitumika mara nyingi
 
Cha muhimu utamu tu hayo mengine ya wivu waachie jogoo
 
Hivi kwann umeamua kuongea ukweli unaouma? Ona wanaume wa humu wanavyoanza kuwatizama wake zao walipitia vyuoni! Siku nyingine uwe unadanganya aise
 
Wanaume ndio sisi sisi. Tunaofukunyua toka form 3. Vyuoni ndio sisi sisi tunagonga. Kazini ndio sisi sisi tunaparamia. Hata kuoa tutaoa sisi. Hakuna wanaume wanao toka mwezini kuja kufanya huo upupu ndio sisi wenyewe

kungekuwa na option una click mtoa comment anapelekewa kinywaji apendacho popote alipo ingekuwa poa. 👍
 
Haaaa,!!! nipe ,kidogo ww,. acha watu wajue chanzo cha kukosa uaminifu kwny ndoa
Unaoa mke aliye wahi olewa wanaume kumi ,basii acha wivuuuu
 
Back
Top Bottom