Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mapenzi kwako ni nini? Je,ni kuishi pamoja, kula pamoja, kuoana, kutoka wote out pamoja, kutembelea ndugu, kuzaliana, kufanya tendo la ndoa, kusaidia watu, kutumiana hela, kupigiana simu...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Nimeona nitumie ukurasa huu kukiri kwamba kuna kaka kazini nimetokea kumpenda sana mpaka yeye mwenyewe amejua na yeye kaanza kunipenda Ni mdogo kwangu kiumri na mimi ndo nilimpokea kazini...
4 Reactions
73 Replies
6K Views
. 1. Ukifika sehemu... Salimia 2. Ukiondoka sehemu..... *Aga* 3. Ukisaidiwa....... *Shukuru* 4. Ukiahidi...... *Tekeleza* 5. Ukikosea.... *Omba msamaha* 6. Kama hujaelewa..... *Uliza* 7. Unacho...
6 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimeona kisulisuli cha mama Rwakatare, ukweli kuna haja sasa wanawake nao waanze kutongoza wanaume, waombe kuoana. Tatizo kubwa hapa, wadada au wanawake wa kiafrika hawapendi kuwa wazi kuonyesha...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Wahindi
1 Reactions
9 Replies
2K Views
*Za kaz wakuu naomba mwenye maelezo yale ya malipo ya kamishen na bonas kwa frelensa za voda,tigo,ttcl, na airtel anitumie* Natanguliza shukuran
1 Reactions
1 Replies
824 Views
Sex sio mapenzi. Na mapenzi sio sex. Unaweza ukawa unafanya nae sex lakini akawa hana mapenzi na wewe. Kuwa na busara. Mtu anaweza akakuchukia na asikupende lakini akafanya sex na wewe. Ni...
5 Reactions
75 Replies
7K Views
Alamsiki mabibi na mabwana, Naomba niwasimulie mtiririko wa mahusiano ya Kasie. Niko safari kikazi na hivo nakuwa na muda mwingi wa kujitafakari. Naanza na aliye nitoa bikira, huyu alikuwa wa...
17 Reactions
336 Replies
21K Views
Salamuuuu..!! Inafika muda unajaribu kuhesabu idadi yao unakuta unafika 300+, unaogopaaa unajishangaaa unajisema hawa ni watu etiii, unakumbuka zile takwimu zao kuwa wakiwa 10 basi mmoja wao...
9 Reactions
63 Replies
10K Views
Wazee wenzangu hili swali nimejiuliza Sana kwa muda mrefu Tena kwa akili zangu zote mpaka Sasa hivi sijapata jibu.kwanini tunawapa hela wakati kwenye mapenzi raha anayopata yeye ndio raha...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Kila kada au taaluma huwa wana lugha zao au alama wanazozitumia.Kada moja anapokutana na kada nyingine wanaweza wasielewane kutokana na aina za maneno wanazozitumia.Mfano;-Mtaalamu wa anga akutane...
0 Reactions
13 Replies
998 Views
Mabaharia tu, mnafikiri hapa kilifanyika kilimo gani? Cc Zero IQ
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimefuatilia ukitaka uishi maisha ya raha ya ndoa oa mwanamke aliezalishwa na kuumizwa na kuachwa huyu atakua anajua maisha, pia mvumilivu. Ukitaka umloge mchukue na mwanae umlee na umpende...
7 Reactions
389 Replies
53K Views
Habari yenu, Nipo kwenye ndoa miaka mitatu. Sijawahi kuona furaha ya ndoa hata watoto sina. Nina mpango wa kudai talaka. Naombeni Ushauri. Au nimtoroke?
9 Reactions
133 Replies
16K Views
Watoto wa kike siku hizi wanapenda sana kuita baba ukimtokea. Hii imekaaje wakubwa? Shukrani
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Wadau mimi ni kijana 27yrs nnaejitegemea sijaoa ,ila nina watoto wanne (pacha mbili) mama tofauti Naishi Kwa mishe za kuunga unga mjini hapa Kulea familia na mimi mwenyewe Sina kazi maalum ila...
5 Reactions
84 Replies
7K Views
Mimi juzi tu nilikuwa nyumbani kwa nje jirani kuna duka napiga zangu k-vant, nipo na mafundi ambao wanajenga nyumba moja jirani pia hapo hapo kitaa, sasa akaja dada mmoja jirani yetu kaolewa na...
5 Reactions
21 Replies
4K Views
*Polisi nchini Nigeria wamegundua zaidi ya vijana 70 wakiwa wamefungwa katika shule binafsi ya kiislamu huko kaskazini mwa Nigeria.* Mamia ya vijana wametoroka katika shule mbalimbali za dini ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mapinduzi makubwa ya teknolojia yamerahisisha mambo mengi sana. Moja ya taasisi inayopokea chungu na tamu ya kupanuka kwa mawasiliano ni ndoa. Mahusiano ya kimapenzi kupitia mitandao yanakua kasi...
21 Reactions
169 Replies
10K Views
Habari zenu wadau, Hii itakuwa mara yangu ya mwanzo na ya mwisho kuandika hii stori.... kama mnakumbuka niliwaambia hii stori kuhusu kaka wa kitanga shoo yake ilivyokuwa usiku mmoja muendelezo...
1 Reactions
90 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…