Jana huyu dem kaniomba aje home toka asubuhi. Nikasema sawa.tupo naye kazini ni muda kidogo nlimwonesha nampenda.akanambia ana mtu hivyo ni mweshimu.nikasema sawa.
Akadai tuwe marafiki.sikuona...
MAKUNDI YA BINADAMU
Hii article ilitolewa na Gazeti fulani hapo kipindi cha nyuma nimeshindwa kukumbuka ni gazeti gani lilitoa, nilifanya ku save tu kwenye computer yangu kipindi hicho, kiukweli...
Yani kuanzia leo mpaka narudi mavumbini sitakaa nimuamini kiumbe kinaitwa mwanamke
Kwanza ukitaka mambo yako ya kwame mshirikishe mwanamke ,ukitaka siri zako zivuje mshirikishe mwanamke...
TAMKO LA FAMILIA ILIYOKUMBWA NA MAUAJI JUZI JUMANNE UKWELI KUHUSU CHANZO CHA MAUAJI HAYO.
Juzi jumanne asubuhi hapa Dar es salaam kulitokea tukio la kutisha la mauaji na kuliacha jiji hili la...
Ushauri please,
Umeoa mke mmeishi miaka 11 na katka maisha yenu ya ndoa mmefaulu kupata watoto wawili ambao kiumri ni wakubwa kidogo wapo shule, lakini miaka ya nyuma umekuwa ukimsaliti mkeo...
Wakuu kipindi cha nyuma niliwahi pata binti wa Mbeya nikaishi naye huku nikiwa sijui ndugu yake yoyote.
Kuna kipindi akawa na kama kiburi ukimsemesha anaweza jibu ama la, nikavumilia siku moja...
Wakuu hivi imepita miaka 6 K24 walikuwa wanavipindi Fulani wanawafundisha wanawake sex position vilikuwa vinatangazwa na dada mmoja alikuwa anaitwa getruda mungai viliishiaga wapi vilijulikana...
Mabaharia punguzeni kutongoza wake/wapenzi wa watu,Ukiona vyaelea ujue vimeundwa.
Imetokea siku ya leo; nilimruhusu mpenzi wangu asafiri kwa ajili ya kupata matibabu ya macho, na ametumia usafiri...
Aaaaargh nimechukiaaaaaaaaa ,haiwezekani wanaume tusome kwa nguvu halafu lisichana halisomi ila linafaulu kwa kugawa papuchi kwa lecturer
Hii haiko sawa hata kidogo ndo chanzo cha kupatikana...
Hichi kitu kinaniboa sana, yani dada yangu mzuri nimeenda kumuozesha mtu ambaye hana pesa wala nini. Kazi yake kuniuliza uliza mambo yangu ya chuo lakini kunipa pesa hata senti moja anaionea...
Mabaharia kwa hali hii uwa mnajiandaaje?
Unakuta mkeo/mpenzi wako alienda safari ya mbali kwa muda wa miezi sita na tangu aondoke wewe hujachepuka;Sasa leo ndio yuko njiani anakuja, labda baada ya...
Kuna Mtu mmoja nimeona Harusi yake imenisamiwa na Bonge la Tajiri hadi najiuliza hivi siku huyo Tajiri akitaka ' mchezo / mbanduano ' na Mkewe atanyimwa kweli? Naomba niishie hapa tafadhali...
Unakuta mdada mzuri lakini ana mikucha kama jini ata sijui wakibanwa na haja huko waendako kujistiri huwa wanachambaje au ndio yale yale ya kujipalaza nya(mavi) na tissue,
Ndio maana wengine...
Ukiona unatumia staili nyingi kwenye kumi na nane (18) ujue umemgeuza mwenzio kama chombo cha starehe. Na hii imekuwa ni kasumba kwa watu kujisifia; mara popo kanyea mbingu, mbuzi kagoma, chuma...
Yaani ukiona kila mnapomaliza kufanya kazi yake yeye anakimbilia 'fasta' kunawa, huyo ni mjanja sana. Hata kama ni wako inabidi ujiulize sana.
Means hataki kitu iingie kunako, anaenda imwaga...
Mimi ni kijana, ujana ni maji ya moto na hapa ndipo hasa unawaka, karbia mwaka wa 4 huu yaani nina tamaa kuliko kawaida ila saivi namshukuru mungu
Tamaa yangu hasa, nikilala na msichana mara 2...
Wakuu naombeni mnisaidie mawazo, maana kuna kipindi mtu unakua kwenye wakati mgumu mpaka unaona kila uamuzi unaoufanya hauko sahihi. Wakuu hapa nilipo nina mke na tuna watoto wawili.
Mwaka 2017...