Kuanzia leo mpaka naingia kaburini sitamuamini tena mwanamke

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
19,477
25,403
Yani kuanzia leo mpaka narudi mavumbini sitakaa nimuamini kiumbe kinaitwa mwanamke

Kwanza ukitaka mambo yako ya kwame mshirikishe mwanamke ,ukitaka siri zako zivuje mshirikishe mwanamke

Wanawake wengi ni waongo waongo na hawana mapenzi ya kweli

Hamna kitu kinachouma zaidi kama kumpa mwanamke zawadi na hiyo hiyo zawadi umkute nayo rafiki yako .

Sitasahau siku nimeenda club moja inaitwa Kangaroo au Durban ipo karibu na Ambiance siku hiyo nilichukia saana kuna msichana aliniambia nimnunulie bia then nimbambie nikaona sio kesi wala nini kwani bia kitu gani ,nikazama mfukoni kidume nikamnunulia aisee bhana baada ya kumnunulia bia yule msichana akavunja makubaliano na akajifanya mkali saana na kudai nisimfate fate kwa kuwa yupo na bwana wake aisee niliumia saana yani at least basi angeniomba tu nimnunulie bia bila kuweka makubaliano yoyote ili mimi nijue nimkubalie au laaah ,hii ni kwa sababu mimi bhana hela ya kudhulumiwa huwa inaniuma sana kuliko hela ya kutoa kwa hiari yangu ,nina uwezo wa kumpa mtu hata elfu 50 na nisimdai lakini wakati huo huo ninaweza nikakosana na mtu kisa kanitapeli elfu moja.

Basi bhana mimi sikutaka kujibishana na yule dada as long as kakataa sikutaka kuendelea kumfata fata maana angezidi kuongea shit na mimi ningekasirika na kuanzisha fujo maana najijua nikikasirika huwa sizuiriki na pia mzee wangu ana jina kubwa saana hapa dar so angejua nimeanzisha fujo bar/club kisa msichana ninge m disappoint saana .

Huu ni mfano mchache ila ipo mingi ila kwa kifupi ndio hivyo nawachukia saana wanawake huwa nawaona kama inhibitors na nawachukulia kama chombo cha starehe

Kwa ambao mtakwazika nami naomba mnisamehe ila ukweli ndio huo siwapendi wanawake na hata kwenye group discussions akiwepo msichana naona kama kuna KIRUSI kimeingia hivyo niwe nacho makini
 
Hata mama yako hutamuamini?
 
WW tens???duh pole ILA uckate tamaa,,,co wte Wako hvo.,especially mmktna club!??
 
Mama yangu kaingiaje?

Mimi naweza kuwa na mapenzi na mama yangu kweli??

Dada mbona unanitafutia ban isiyo ya lazima??
Kama humwamwini mwanamke yeyote mana yake umemjumlisha na Mama yako pia sababu ni mwanamke sio mwanaume, afu mkome kurukia Malaya huko mnakuja kulia lia hapa mkijumlisha wanawake wote, mwanamke mwenye akili zake timamu humkuti bar anaomba omba beer.
 
Huyo wa huko ni mfano tu nikisema nilete matukio ya kila mwanamke nisingeweza kumaliza kuandika maana wengine matukio yao marefu

Na pia mimi sio mpuuzi kiasi hicho cha kuvurugwa na mwanamke mmoja basi niwaunganishe wote

Ukiona mpaka nimewaunganisha wote basi ujue matukio yao ni mengi saana na nimeyachoka

Kwa kifupi sina mapenzi yoyote kwa mwanamke yoyote yule huwa nawalaghai kisha nikitimiza haja zangu natokomea kabisa tena ikiwezekana natengeneza mpaka skendo hapo roho yangu inakuwa imetulia
 
Mkuu unanifurahishaga sana maisha yako yanaendaga inverse na binadamu wengine, yaani yanaanzia uzeeni kuelekea utotoni.

Ulianzia ukiwa chuo kikuu unalalamika UMECHOKA KUPIGWA EXILE, UKAWA UNAJIFUNZA JINSI YA KUTTONGOZA, Ukafurahi ukasema HATIMAE NIMEPATA BOOM, ukafurahi ukasema MUHAS HIYOO NASUBIRI JINA TU, ukafurahi ukasema HATIMAE NIMEFAULU FORM SIX, ukafurahi ukasema WAKUU PCB ni ngumu?, juzi ukaanzisha thread ikisema NIMEPATA ONE YA KUMI FORM FOUR USHAURI NISOME MCHEPUO GANI,

Hapa nipo nawaza episode itakayofuata utakuja na thread kama hii NIMEMALIZA DARASA LA SABA B SEKONDARI NIENDE KAYUMBA AU PRIVATE??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom