Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanaume mnakwama wapi jaman?mbona gololi hamzioshi??tatizo ni nini huko uvunguni mbonaa uvundo?? Kutokana na kikao chetu wakina dada wa shoka tunaojuaa shughuli za sita kwa sita, wamenituma kama...
13 Reactions
170 Replies
14K Views
Hapa duniani kla kitu ni uongo, kila mtu ni muongo, isipokuwa kifo tu ndio ukweli pekee hapa duniani vingine vilivobaki vote ni uongo. Na ndio maana binadam wengi km sio wote wanaogopa kifo kwa...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
1. Mahusiano yasiyokupa furaha. Ni sumu. 2. Visingizio vya kutoanza safari ya ndoto zako 3. Urafiki usioongeza thamani kwenye maisha yako 4. Kujihukumu kwa kujilinganisha na wengine. 5...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
HABARI ZA MUDA HUU WAKUU! Mada hapo juu inajielezea, yaani kuna washkaji wanazingua sana. Unawezaje kumtongoza demu hadi akubali alafu usimalize mchezo? Yaani inakuwaje utumie muda wako, na...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari za mwisho wa wiki wana Mahusiano na Mahaba. Wiki iliyopita nilienda kwenye ofisi flani kupata huduma, nikiwa kwenye foleni akapita baba mmoja mtanashati tuu na yeye alikuwa anapata huduma...
4 Reactions
54 Replies
4K Views
Naomba msaaada kwa hili. Mimi nina mke wangu ambae yupo mbali alikuwa mama wa nyumbani nikamfanyia mpago wa chuo amesoma amefanikiwa kupata kazi mkoani mimi sasa wakati yuko chuo nilikuwa na...
2 Reactions
65 Replies
7K Views
Mwezi huu eti kakaza... eti halipii tena king'amuzi. Kisa... eti zinaishia kuonyesha epl, wao hawafaidi tamthilia zao. Hamna noma lakini, nahamishia majeshi vibandaumiza
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Wahenga walisema.."nguo ya kuazima haistiri makalio" Tamaduni ya mtu ukiachilia mbali afya yake,Ni nguzo imara ya kufikia malengo yake kwa namna yoyote ile Tamaduni humjengea mtu...
8 Reactions
33 Replies
4K Views
Wakuu mmemuekewa vipi Diamond!? Amewaahidi wadhamini wa tamasha lake la muziki kwamba atawasihi au kuwashawishi wanawake zetu wasitukubalie kufanya nao mapenzi bila kuvaa mpira(.kondom)kwa upande...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Swala la ndoa ni swala nyeti sana. Watu wanataka kuingia kwenye Ndoa na Walio kwenye ndoa wanatamani kutoka kwenye ndoa. Ndoa uwa ni chungu na inawashinda wengi kutoka na maswala ya...
9 Reactions
14 Replies
5K Views
Ni hivi, kuna binti mmoja nilikutana nae Mlimani City duka moja wanauza perfumes wiki kadhaa nyuma. Gia ya kumvuta nilimwambia ukimaliza ku shop uje samaki hapo for lunch. Mimi nikatangulia...
6 Reactions
203 Replies
14K Views
Tamasha ya uume maarufu kama "Kanamara Matsuri" ni moja ya sherehe ambazo hufanyika nchini Japan,kusherehekea umuhimu wa uume katika jamii. Tamasha hiyo inaaminika kuwa ilianza katika karne ya 17...
0 Reactions
43 Replies
8K Views
Virginity is like a balloon one prick and it is gone forever,Sex is like a pack of chips once you start yuh can't stop. I think is very hard to get a virgin lady at 20 and above nowadays, except...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Everyone knows about weman's joy, The girl have to be happy , and that happiness automatically caused by man's obese wallet and account, Please wahudumie mademu zenu,.mtuhudumie Mulalegee Love...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za majukumu wana jamvi... Natamani mnipanue fikra kidogo juu ya hii heshima tuliyoizoea ya kusalimiana "SHKAMOO". Kwa jamii yetu Tanzania, matumizi ya salamu hii ni ishara mojawapo ya utii...
1 Reactions
56 Replies
9K Views
Mwanamke mmoja alikamatwa na kufungwa gerezani baada ya kukutwa na hatia ya mauaji ya mume wake ambaye mwili wake haukuwahi kupatikana. Baada ya kutumikia miaka takribani kumi (10) gerezani ikaja...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Juzi juzi nlikuwa mahali flani hivi nimesimama, akatokea mdada mmoja, simfahamu wala yeye hanifahamu, alikuwa amesimama umbali wa kama hatua 10 hivi kutoka nilipo, nlimuona na yeye aliniona...
5 Reactions
46 Replies
7K Views
If you don't give me money or to your wife , Mna achana If (I) you don't give him sweet part of your body anakuacha, Depends on each other,
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Mchepuko unanilazimisha nisherehekee naye katika sikukuu ya chrismass Sikukuu zote nimezoea kusherehekea na mke wangu pamoja na watoto,kwa kipindi hiki mchepuko ananipa mahaba yote na...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari wakuu. Nimekuwa kwenye mahusiano na huyu binti kwa zaidi ya mwaka mmoja na malengo yetu ni kufunga ndoa halali ya kanisani next year. Changamoto kubwa niliyonayo ni usiri wa huyu binti...
4 Reactions
192 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…