Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanaume tuko tayari kujibu maswali ya wanawake, ikiwa una swali lolote funguka hapa
2 Reactions
87 Replies
7K Views
Hivi kwanini wanawake wengi wanapenda urafiki na mashoga? Kwanini wanapenda kuongozana nao Kwanini wapo nao muda wote nashindwa kujua kwanini wanawake tena wengi ni wake za watu wanawapenda hao...
2 Reactions
55 Replies
11K Views
Hili jambo ni mpaka likukute ndiyo utaona madhila yake, la sivyo utaona ni story tu. Kuna baadhi ya familia hutokea mtoto mmoja akainuliwa kuliko wengine, na yeye kwa kupenda ama kinyume chake...
29 Reactions
86 Replies
8K Views
Mdada mmoja kutoka JF nipe hii kitu nami nipate raha kidogo![emoji6][emoji6][emoji6]
4 Reactions
51 Replies
4K Views
Kutokana na kuwa na mfululizo wa taarifa za kutisha ambazo wanafanyiana wanandoa nadhani inatakiwa mliopo ndani ya ndoa na mnakula mema ya nchi mlete mrejesho chanya. Kama kijana ningependa kujua...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
1. Unapenda sana mambo ya 50/50 haki sawa. 2. Unapenda mambo ya dawati la jinsia. 3. Unafurahia kushinda club na kunywa.(kujirusha) 4. Una kadegree na kakazi na kamsemo ka "kama kusoma na mimi...
13 Reactions
54 Replies
7K Views
Kuna katabia haka ka vischana 20s umetoka kukagonga unakarudisha home unakuta kako bize kanapiga selfie ama snapchat ama facebook live. Yaan kanajiweka poz nyingi tu halaf kanapost kila sehem...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakati tukisuasua kutoa vitambulisho vya taifa... Na Jumatatu ya tarehe 20 ikiwa ndio mwisho wenzetu walishamalza kitambo na sasa wanagawa kwa wanyama wao... Zoezi likianzia kwa wanyama wa kufugwa...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Wakuu kesho nina meeting na kuku wa kienyeji so nahitaji sehemu nzuri ya kupumzika na kuenjoy kwa Kinondoni,yani kawawa road yote toka Mkwajuni mpaka Morroco.Bei iwe 20-25 kwa part time not...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Haya maisha yetu ni kuyaachia tu mbele za Mungu kwa kweli. Kwa maisha ya sasà ni shida kinachoendelea. Kazini urogwe usionekane, mke akuroge usidili na vichenchede, vichenchede nao wakuroge...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Pamoja na changamoto mbali mbali za dini ya kiislamu. Baada ya kuchunguza sana nimegundua katika ndoa na mfumo wake ni Ndoa bora zaidi kuliko za Kikristo . Kama ningeweka katika % basi Ndoa za...
51 Reactions
309 Replies
24K Views
Mswaki jamani kupiga mswaki kwa wanandoa haswaaa mida ya ucku unapotaka kulala Unapotaka kulala bibi na bwana pigeni mswaki sio umeshinda kutwa nzima umekula vitu tofaut tofaut mdomo una ugavu...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Salaam.wakuu Habari za Weekend Mkopoa Matumaninu Yangu Nashukuru Naomba Kuuliza Au Kushare Hili Tujajadili Pamoja Huwenda Tukapata Hitimisho kwa Ushauri na Uchangiaji Mbali Mbalii. Hivi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hiki kitu kinanitatiza Sana kila nikiwaza napata ukakasi kwamba inawezekanaje mwanaume ukapokea kipigo kutoka kwa mkeo na huku unabaki unacheka cheka tu.maswali nayojiuliza Akiwa anakupiga unakuwa...
2 Reactions
94 Replies
9K Views
Umekutana na jamaa very Handsome... Very Smart..Kajazia misuli UKAMTAMANI...Yaani kila ukimwangalia Pichu inajaa udambwidambwi...Unampatia Picha Ukimpa Mzigo jinsi atakavyoimanua vizuri...
13 Reactions
121 Replies
16K Views
https://youtu.be/zRUlBXRYqD4 Katika pita pita zangu jana nimefanikiwa kuangalia interview za wanawake wawili walioacha ndoa zao Lisa wa Mabeste na Shamsa Ford... baada ya kusikiliza nimeona...
3 Reactions
22 Replies
5K Views
Daa miaka inazidi kwenda na umri ndio hivyo tena. Matumaini yanazidi kupotea. Huku nyuma nilikuwa na matumaini ipo siku moja nitakutana na bikra. Lakini kadiri siku zinavyokwenda matumaini yangu...
1 Reactions
63 Replies
8K Views
Wakuu leo Wife amenipigia simu akaniuliza RANGI GANI UNAIPENDA? Nami bila hiyana wala tashwishwi nikajibu straight ni NYEUSI! Kilichotokea ni balaa yaani wife anamind kua simpendi eti kisa yeye ni...
3 Reactions
8 Replies
838 Views
Aman iwe nanyi wakuu Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapo juu Nikickek umuri wangu sasa naenda kugota 25 hivyo nahitaji mwenza wa kuwa naye maishan mwangu Lakin siyo tu nahitaji mwenza...
5 Reactions
40 Replies
6K Views
Habari wana Jf Naimani mko powa humu.. Nizame uzini moja kwa moja cjawahi kusex untili young up to now ila naogopa kujiingiza uko japo baby ninaee.. Eti siku nikitaka kupiga show ili afike...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…