Hotel nzuri kwa Kinondoni

Hotel nzuri kwa Kinondoni

Wakuu kesho nina meeting na kuku wa kienyeji so nahitaji sehemu nzuri ya kupumzika na kuenjoy kwa Kinondoni,yani kawawa road yote toka Mkwajuni mpaka Morroco.Bei iwe 20-25 kwa part time not full.Ahsanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Hotel halafu iwe short time. Itakuwa Guest House hiyo. Zile za kushare Mashuka.
 
Duu kesho kuna mtu kajiandaa kwenda kuliwa bila kufahamu kuwa huku anapangiwa mikakati ya kuliwa shortime
Wakuu kesho nina meeting na kuku wa kienyeji so nahitaji sehemu nzuri ya kupumzika na kuenjoy kwa Kinondoni,yani kawawa road yote toka Mkwajuni mpaka Morroco.Bei iwe 20-25 kwa part time not full.Ahsanteni

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom