Vitambulisho vya kupiga kura CCM wanaweza wakawatengenezea hata kuku ili wapige kura za maruhani
Sent using Jamii Forums mobile app
Watuongezee tena siku zingine karibia nusu ya watz hatuna hizo namba wala vitambulisho
Hata hivo wamekurupuka sidhan kama watatufungia wataongeza tu siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Esta bueno, por que esta es La RhumbaWatufungie tena hata leo tupo 2020 lakini sirikali nid tcr mawazo yao na utendaji wao wapo 1955 wanasema hapa kazi lakini hawajali muda.
Kwa hiyo bwana Jumbo ameshapata ID yake sisi bado tunahangaishana huku?
Sent using Jamii Forums mobile app
This good, this is La Rhumba Come dance with me in this Rhumba This good, this is La Rhumba Come dance with me this RhumbaEsta bueno, por que esta es La Rhumba
Con bailan, con meguen, es La Rhumba
Esta bueno, por que esta es La Rhumba
Con bailan, con meguen, es La Rhumba
Ni kweli kabisaHA ZI TA FU NGWA.... nani hapendi mapato? Imagine utakwamisha shughuli za watu wangani ukizifungia
Jr[emoji769]