Msaada wa haraka unahitajika!

Msaada wa haraka unahitajika!

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
10,573
Reaction score
16,360
Wakuu leo Wife amenipigia simu akaniuliza RANGI GANI UNAIPENDA? Nami bila hiyana wala tashwishwi nikajibu straight ni NYEUSI! Kilichotokea ni balaa yaani wife anamind kua simpendi eti kisa yeye ni mqwupe na mm nilikua sijui lengo la swali lake! wakuu nifanyaje kumtuliza maana kila nikijitetea haelewi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie aje jf, umemwazishia uzi huku asome comment....
Sasa ungemwambia blue angefanyaje?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wakuu leo Wife amenipigia simu akaniuliza RANGI GANI UNAIPENDA? Nami bila hiyana wala tashwishwi nikajibu straight ni NYEUSI! Kilichotokea ni balaa yaani wife anamind kua simpendi eti kisa yeye ni mqwupe na mm nilikua sijui lengo la swali lake! wakuu nifanyaje kumtuliza maana kila nikijitetea haelewi.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu kuna maswali mengine sio yakujibu...
 
Back
Top Bottom