Umuhimu wa mswaki kwa wana ndoa

KANYEGELO

JF-Expert Member
Nov 12, 2019
2,149
4,752
Mswaki jamani kupiga mswaki kwa wanandoa haswaaa mida ya ucku unapotaka kulala

Unapotaka kulala bibi na bwana pigeni mswaki sio umeshinda kutwa nzima umekula vitu tofaut tofaut mdomo una ugavu unaenda kumpa romance mwenzio

Wengne humu tuna wanaume zetu ni mtihan wanavuta sigara humu Mwenyezi Mungu awaongoze waache

KINYWA kiwe safi kwanza pia ni nzur kwa afya yako

Mdomo uwe unaharufu nzur hata pale ukitamka maneno matam yanatoka na harufu nzuri

Na sio meno na kinywa tu hata ulimi unatakiwa usafishwe wengne ulimi una nta ukimpa mwenzio ulimi kuna Uchachu wa ugavu inahuu

Safisha ulimi wako , mume na mke mkipeana ulimi unakua swaafi romance inakua paambe na mate yanakua yenye vimelea safii

Usiwe mvivu mtt wakike mzoeshe na mumeo kila ucku muekee mswaki wenye dawa mwambie piga mswaki mume wangu lazima atazoea

Wengne humu akiamka asbui mpk ucku hajui mswaki kwenye kinywa chake meno ya njano kwa ule uvivu mwanamke lazima ujali afya yako na usafi wako

Utakuta wengne humu mume wake au mke wake hapendi mate mara kwa mara kumbe mdomo unaleta harufu kali wanashindwa kuambiana (Japo wengne yanakua ni maradhi )

Vitu ni vidogo unaeza ukapuuzia kumbe ukifanya inaeza kupa ubunifu mpya ktk ndoa wengi tunapenda kupuuzia mambo madogo ndio yenye kunufaisha

Ewe mola! Tujaalie ndoa zenye amani, furaha, upendo na uchamungu

sent from toyota Allex
 
Afya ya kinywa sio kwa wana ndoa tu. Hata ambao hamjaoa na kuolewa piga mswaki kila baada ya kula. Fanya flossing pia, angalau mara tatu kwa siku.
 
Kwanini kwa wanandoa tu? Huoni kuwa ni jambo la kuzingatiwa kwa lila mmoja wetu kwa afya zetu?

Ila daaah kuna watu huwa nawaza nashindwa kupata majibu. Anyway mahaba ni ya wawili labda wao hawasikii harufu.
 
Flossing ni nini?
Kusafisha meno na fizi (sehemu ambazo mswaki wa kawaida hauwezi kusafisha) kwa kutumia uzi flani.
images (5).jpeg
 
Mswaki jamani kupiga mswaki kwa wanandoa haswaaa mida ya ucku unapotaka kulala

Unapotaka kulala bibi na bwana pigeni mswaki sio umeshinda kutwa nzima umekula vitu tofaut tofaut mdomo una ugavu unaenda kumpa romance mwenzio

Wengne humu tuna wanaume zetu ni mtihan wanavuta sigara humu Mwenyezi Mungu awaongoze waache

KINYWA kiwe safi kwanza pia ni nzur kwa afya yako

Mdomo uwe unaharufu nzur hata pale ukitamka maneno matam yanatoka na harufu nzuri

Na sio meno na kinywa tu hata ulimi unatakiwa usafishwe wengne ulimi una nta ukimpa mwenzio ulimi kuna Uchachu wa ugavu inahuu

Safisha ulimi wako , mume na mke mkipeana ulimi unakua swaafi romance inakua paambe na mate yanakua yenye vimelea safii

Usiwe mvivu mtt wakike mzoeshe na mumeo kila ucku muekee mswaki wenye dawa mwambie piga mswaki mume wangu lazima atazoea

Wengne humu akiamka asbui mpk ucku hajui mswaki kwenye kinywa chake meno ya njano kwa ule uvivu mwanamke lazima ujali afya yako na usafi wako

Utakuta wengne humu mume wake au mke wake hapendi mate mara kwa mara kumbe mdomo unaleta harufu kali wanashindwa kuambiana (Japo wengne yanakua ni maradhi )

Vitu ni vidogo unaeza ukapuuzia kumbe ukifanya inaeza kupa ubunifu mpya ktk ndoa wengi tunapenda kupuuzia mambo madogo ndio yenye kunufaisha

Ewe mola! Tujaalie ndoa zenye amani, furaha, upendo na uchamungu

sent from toyota Allex
Umenena vyema, kuna watu wananuka mdomo jamani dampo linasubiri...... Wengine ukimwambia anakua kuwa mkali mara awe na gubu.

Kuna wale wengine ukiwa unaongea nae unatamani ugeuke pembeni, ni shiiida yani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri mzur Sana huu cyo tu kwa wanandoa Bali wote Me na ke ,ila malizia na hii watu pia husahau kusugua vizur na taratibu kakaa gumu ,na ulimi ndo maana miharufu unamkuta nayo mtu coz hasugui ulimi ,pia na kaakaa gumu ,,

Back
Top Bottom