Muda ndiyo tiba pekee ya majeraha ya mapenzi

Charliemic

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2019
Posts
604
Reaction score
979
Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu, wengi saaana tumepata ajali na kujeruhiwa mioyoni. Wenye mioyo miepesi huwa wanajiua. Asee si wanawake au wanaume, hakuna mjanja katika ulimwengu wa mapenzi.

Tiba ya moyo uliyojeruhiwa na mapenzi ni muda pekee, usijidanganye kwa lolote. Muda unavyosonga ndivyo tiba inaachiliwa ndani ya moyo wako na sio vinginevyo!
 
Kijana the only cure for your loss is to accept that you're no longer important to her and she don't need you. Move on.
Kubali kwamba kila kitu kinakuja na kuondoka, hiyo ndio dawa pekee.
Except your mama, no one will be with your side forever
 
Mkuu hii haikupunguzii maumivu asee, maumivu humalizwa na.muda
 
Ukweli ndiyo ukweli Muda ndio usemao, iwapo utamudu. Lakini sio kila siku, wakati hugoma pia. Mtu anashindwa tu Hawezi tu kuliachia. Kuliachia lijiendee analikumbatia. Mbaya hapo ndipo kitanzi kinaweza kuhusika; dawa ni imani pana Imani katika Mungu na asili (nature) yetu. Kila kitu kina sababu.

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natafuta mchumba anda twenti itapendeza aje kuponya majeraha nliyoyapata
 
Ni kweli muda ila pia kukubali kwamba safari yenu imeishia apo,ila hakikisha wote mpo sirias na pia fungua kurasa mpya pengine apo ukipona umeopona kweli,nilijigundua mim ni playboy nilivyo achana na msichana wa ndoto zangu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said
Kijana the only cure for your loss is to accept that you're no longer important to her and she don't need you. Move on.
Kubali kwamba kila kitu kinakuja na kuondoka, hiyo ndio dawa pekee.
Except your mama, no one will be with your side forever
 
Kijana the only cure for your loss is to accept that you're no longer important to her and she don't need you. Move on.
Kubali kwamba kila kitu kinakuja na kuondoka, hiyo ndio dawa pekee.
Except your mama, no one will be with your side forever

Well said mkuu

Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Back
Top Bottom