Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

JAZMINE SULLIVAN - HOLDING YOU DOWN "Holding You Down (Goin' In Circles)" Why cant I find somebody else When I know Know that you're doing wrong Its so hard Hard to let go I done went through...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Baada ya mkwamo mwingi wa wanawake kufika kileleni kwenye kugegedana, baadhi ya wanawake wameamua kuwadanganya na kuwaletea utapeli wapenzi wao kwa kujifanya wamefika kileleni kumbe hakuna lolote...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Huyu bidada nlimfuatilia kama miezi minne.taratibu tukajenga mahusiano.siku moja tupo parking ya bar flani hivi giza limeingia namuaga aende kwake.kama wajinga tukaanza tiana ashki. Kutahamaki...
8 Reactions
47 Replies
9K Views
Waliolelewa na single mama waje hapa watupe mrejesho Kumekuwa na mtazamo tofauti kuhusu single mama, na kuwahisi labda wao ndio wamekuwa chanzo cha jinsi wao walivyo. Inawezekana pia sisi wengine...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habarini za saiz naandika uzi huu nikihitaji mawazo yenu kwani nipo njia panda na nashidwa kujua nifanye nin labda mawazo yenu yaweza nijenga kifikra. Bila kupoteza muda ipo hivi, Nimekuwa...
1 Reactions
59 Replies
8K Views
Kipindi nipo darasa la Sita shule moja jijin mbeya Kuna mwanafunzi wa kike alihamia darasani kwetu alikuwa anaitwa Innah.. Alikuwa ni mzuri sana, hakika ni mzuri hatari. Na ndio mara yangu ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu mpo naamini mnaendelea kulijenga taifa letu pendwa Tanzania. Nimekaa kwa muda bila kuwa kwenye mahusiano baada ya kuumizwa sana, nikiwa najiuliza kweli nitampata mwenye mapenzi ya kweli...
2 Reactions
103 Replies
12K Views
Poleni na majukumu wadau, Story ipo hivii,, Mtaani kwetu huku Sutimbi, kuna jamaa flani ni mchizi wangu kiaina maana tumefahamiana Bar miaka kadhaa iliyopita (tumwite Masudi) na mara nyingi...
3 Reactions
47 Replies
4K Views
Unaambiwa kuwa Mwanamke hukomaa kihisia na kuwa na uwezo mkubwa wa kuzuia matamanio yake ya kimwili anapofikisha umri wa miaka 32, lakini kwa Mwanaume yeye hisia zake zinakomaa na hata kuwa na...
2 Reactions
35 Replies
7K Views
I'm a good boy, natafuta marafiki wa kike wa kubadilishana mawazo ninapochoka na mishe zangu. Napenda sana kufurahii na kubadilishana mawazo
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Hi Jamii forum family,Ts my second time here. I'm 30 years of age Tanzanian with hiv+ on medication , I'm looking for a gud man ,he just have to be smart with a very gud sense of humour ,age...
9 Reactions
20 Replies
3K Views
Jipende wewe kwanza ,wapende wazazi wako kama wapo, Mpende sana Mama yako, Mpende sana Baba yako, Usisahau kuwapenda na ndugu zako wa kuzaliwa nao ,huo ndio upendo wa kweli. Ukitaka kuishi kwa...
27 Reactions
59 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu Mi sijui tuseme ni tatizo au ni nini, nikikutana na mwanamke kimapenzi, nikijaribu kuvaa condom, mashine haisimami kabisa ila nikipiga peku fresh. Mnisaidie, kwani some time...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Moja kati ya sababu ni hizi: 1. Umejirahisi sana, ukiwekewa kamtego unanasa, unachezewa, unaachwa. 2. Unachagua sana, ukiwakataa wapambanaji badala yake unangojea waliokwisha pambana kimaisha na...
7 Reactions
195 Replies
15K Views
Salaam Natamani ku share &kusikia Yalio Wahi wakuta Wale Walio Wahi Achwa&kuachana na wapenzi wao Kisa tu kutotimiza ombi Fulani Let's go on the Point tuambie ilikuwaje Kwa upande wako na...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Tatizo la nguvubza kiume husababishwa na sababu nyingi zikiwemo masuala ya kisaikolojia, magonjwa au maumbile.. Wafuatao ni aina ya wanaume ambao wapo hatarini kuishiwa nguvu za kiume kutokana na...
6 Reactions
28 Replies
5K Views
Salam kwenu waumini wenzangu wa jukwaa hili... Kisa hichi ni changu binafsi kinachoninyong'ochesha kila uchwao. Najua nakosea kukileta hapa kwenye but nimejipanga kukosea. Nimeoa miaka mitano...
12 Reactions
173 Replies
18K Views
Mimi kumpa pesa mwanamke ambaye sijamwoa bado ni dhambi bora nisaidie watoto wasiojiweza nitapata baraka kwa Mungu na sio kujiongezea dhambi, bora nibaki na dhambi ya uzinzi.
7 Reactions
85 Replies
8K Views
Habari zenu wana jf Daah watu walisema mapenzi ya mbali hayadumu ni kweli bana Leo ndo nimeamini daaah Nilikua mbishi walivyokua wananiambia hvoo ila now nimeamini Mapenzi ya mbali hayadumu...
9 Reactions
51 Replies
7K Views
Umewahi kunyonywa mpaka ukapiga kelele? Mtoto anakuuliza 'kuna vitu 3 viko tayari kwaajili yako, maji ya kuoga, chakula na Mimi mwenyewe' ungependa uanze na kipi'? Jamani kuna mademu wanaweza...
9 Reactions
69 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…