Siwezi kushiriki mapenzi nikiwa nimevaa condom

Kibwengo

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
6,218
2,000
Habari zenu wakuu

Mi sijui tuseme ni tatizo au ni nini, nikikutana na mwanamke kimapenzi, nikijaribu kuvaa condom, mashine haisimami kabisa ila nikipiga peku fresh. Mnisaidie, kwani some time napataga game za show time inazingua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
16,887
2,000
Iliwah nikuta,
Nkaja gundua Inategemea na Aina ya ndom, baadhi ya ndom zipo zipo tu utadhan umevaa kandoro

Hata bao 1 halijaisha zishakauka na kutepeta Sana, unachomeka ukichomoa tu unaona ishasogea tayar Kama inazamia.

Unajikuta Kila Mara unastisha game kurekebisha ndom.

Bao moja unajikuta ushabadili ndom tatu mpk nne

Ndom zinazozidi Zaid ni ROUGH RIDER, MSD na zile 3BOMBA.

Nowdays natumia DUME na ndom flan hivi nmezisahau jina (zinatengenezwa FRANCE),

Zinauwezo mzuri Sn wa kuhimili mikiki mikiki na zina vipele flan hivi amaizing vinatekenya.

My take: BADILI AINA YA KONDOM, USIPIGE KAVU KAMA HUNA UHAKIKA NA STATUS YA UBUNTU HUSIKA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkwala

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
1,104

Kweli kabisa kuna Ndomu flani hivi Ultimate sijui,na zenyewe ukitumia unapoteza akishishi kabisa.Hiyo DUME so far naona inakimbizaaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom