"Walivyokuwa wananiambia"
"Watu walisema"
Hivi unafikiri dunia hii kila mtu anakuwazia mema?
Hayo maneno yalikua ni sumu na yakawa poisoned kwako na hatimaye sumu imefanya kazi na ni uzembe wako kuiacha ikudhuru...all.in the name of "watu walisema" ..
Unless useme hukupata mtu sahihi katika.maisha yako pengine alikua part time, wewe uko permanently yeye yuko.temporarily, sasa unategemea nini..pengine alivaa ngozi ya kondoo.kwa.mda ili apate something toka kwako..sasa amekipata umeiona ngozi yake halisi..au useme ukwel mkuu umeharibu.mwenyewe unasingizia "watu"