Waliolelewa na single mama waje hapa watupe mrejesho

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,512
Reaction score
64,861
Waliolelewa na single mama waje hapa watupe mrejesho
Kumekuwa na mtazamo tofauti kuhusu single mama, na kuwahisi labda wao ndio wamekuwa chanzo cha jinsi wao walivyo. Inawezekana pia sisi wengine tunaowaponda hawa single mama....tumetoka katika hizo familia. Ili hili jambo kuliweka sawa, ni vizuri wale waliolelewa na hawa single mama waje hapa watupe ushuhuda ili wakati mwingine tusiwe tunawalaumu. Karibuni....
 
Angalizo: wasije mayatima hapa waliopteza baba zao na kulelewa na akina mama wajane.

Tunataka wale waliolelewa na mama tu huku baba akiwepo, akikutambua kama mwanae au kukukataa.
Waliolelewa na single mama waje hapa watupe mrejesho
Kumekuwa na mtazamo tofauti kuhusu single mama, na kuwahisi labda wao ndio wamekuwa chanzo cha jinsi wao walivyo. Inawezekana pia sisi wengine tunaowaponda hawa single mama....tumetoka katika hizo familia. Ili hili jambo kuliweka sawa, ni vizuri wale waliolelewa na hawa single mama waje hapa watupe ushuhuda ili wakati mwingine tusiwe tunawalaumu. Karibuni....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom