Hivi wanawake waimba kwaya huwa wanagongeka ?

kyagata

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
6,458
12,555
Wakuu,Kuna binti mmoja mwimba kwaya wa haya makanisa ya kilokole naona anajilengesha kwangu, sasa nataka nisipoteze muda wangu, nafikiria kumuomba mchezo but wasiwasi wangu asije akaanza kuleta story za mistari ya biblia.
So naomba kujua kama hawa waimba kwaya huwa wanagongeka na watu wa kawaida kama sisi tusiosali sana?
 
Hao watamu sana kama nguruka alafu ukele wao humuita nabii arudi, yesuu yesuu dah, ngoja nimcheki shemasi anipe connection
 
Wakuu,Kuna binti mmoja mwimba kwaya wa haya makanisa ya kilokole naona anajilengesha kwangu, sasa nataka nisipoteze muda wangu, nafikiria kumuomba mchezo but wasiwasi wangu asije akaanza kuleta story za mistari ya biblia.
So naomba kujua kama hawa waimba kwaya huwa wanagongeka na watu wa kawaida kama sisi tusiosali sana?
Tena hakuna wazembe kama wanakwaya beki zao hazikabi kabisa zinashambulia tu muda wote ziko mbele....
 
Heshima za ndani ya kanisa, na unyenyekevu unyenyekevu usifikiri ndani yao wako hivyo. Wengi wamepwaya tena wanakimbilia huko ili waonekane, hii ni baada ya kutumika sana tu
 
Wakuu,Kuna binti mmoja mwimba kwaya wa haya makanisa ya kilokole naona anajilengesha kwangu, sasa nataka nisipoteze muda wangu, nafikiria kumuomba mchezo but wasiwasi wangu asije akaanza kuleta story za mistari ya biblia.
So naomba kujua kama hawa waimba kwaya huwa wanagongeka na watu wa kawaida kama sisi tusiosali sana?

Muhimu usibishane naye sana kuhusu mambo ya kiroho, kanisani nenda naye, utakula mpaka uchoke mwenyewe
 
Back
Top Bottom