“Kumpiga Mwanamke ni udhaifu

“Kumpiga Mwanamke ni udhaifu

Chibudee

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
1,775
Reaction score
2,408
“Kumpiga Mwanamke ni udhaifu, kwanini umpige Mwanamke wakati umemzidi nguvu?, kama unataka kupigana mtafute Mwanaume kama wewe mpigane,

nipo na Mke wangu Mama Janet kwa miaka 47 na sijawahi hata kumsukuma, ni bora umpige Mkeo kwa ulimi na sio kwa ngumi na mateke”- Rais Museveni wa Uganda
•
Vipi na wewe haujawahi hata kusukuma au kusukumwa tangu uwe kwenye uhusiano wako au haya mengine ya ndani tusikuingilie?[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
“Kumpiga Mwanamke ni udhaifu, kwanini umpige Mwanamke wakati umemzidi nguvu?, kama unataka kupigana mtafute Mwanaume kama wewe mpigane,

nipo na Mke wangu Mama Janet kwa miaka 47 na sijawahi hata kumsukuma, ni bora umpige Mkeo kwa ulimi na sio kwa ngumi na mateke”- Rais Museveni wa Uganda
•
Vipi na wewe haujawahi hata kusukuma au kusukumwa tangu uwe kwenye uhusiano wako au haya mengine ya ndani tusikuingilie?[emoji28]View attachment 1381527

Sent using Jamii Forums mobile app
Atampiga je wakati walishatengana kitambo kwa umalaya wa mwanaumme wanatunza tu heshima kwa umma.....angeongea mtu mgine ila sio m7 amedhalilisha sanaa wanawake, kazaa na makada wa chama chake NRM wengi akiwemo Winnie byanyima.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea ni kipigo cha aina gani, kama mangumi, hapana. Ila binafsi na recommend kofi moja tu, lenye uzito wa juu kiasi. Hii husaidia ku restore setting za mhusika.
NB. Isiwe kila mara, kinatumika endapo hakuna njia mbadala ya masikilizano.
Lakini njia bora zaidi, ni kukaa kimya, kimya cha busara.
 
“Kumpiga Mwanamke ni udhaifu, kwanini umpige Mwanamke wakati umemzidi nguvu?, kama unataka kupigana mtafute Mwanaume kama wewe mpigane,

nipo na Mke wangu Mama Janet kwa miaka 47 na sijawahi hata kumsukuma, ni bora umpige Mkeo kwa ulimi na sio kwa ngumi na mateke”- Rais Museveni wa Uganda
•
Vipi na wewe haujawahi hata kusukuma au kusukumwa tangu uwe kwenye uhusiano wako au haya mengine ya ndani tusikuingilie?[emoji28]View attachment 1381527

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipigo lazima akileta za kuleta
 
Mapigano ya ulimi ni perfect. I buy that
 
Haya mafurushi hayawezi kuelewa, akili hawana wamebakiza mabavu tu.
 
Inategemea ni kipigo cha aina gani, kama mangumi, hapana. Ila binafsi na recommend kofi moja tu, lenye uzito wa juu kiasi. Hii husaidia ku restore setting za mhusika.
NB. Isiwe kila mara, kinatumika endapo hakuna njia mbadala ya masikilizano.
Lakini njia bora zaidi, ni kukaa kimya, kimya cha busara.
[emoji1787][emoji1787] kofi moja lina default settings

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku akikuminya pumbv au kukupiga dole ndio utaamua ucheke cheke kama zwazwa au utoe kelbu
 
Back
Top Bottom