Kwa miaka ya sasa, haiwezekani kupata mwanamke wa aina hii

AlphaMale

JF-Expert Member
Oct 26, 2019
613
1,401
Yani upate mwanamke mzuri mwenye chura, unamtongoza leo baada ya siku 4 anakuja ghetto kwako, hakuombi hela bali anafanya usafi, anadeki, anakufulia nguo, anakupikia msosi mtamu, na papuchi anakupa, na baada ya hapo anaondoka bila kukuomba hela, na hii tabia anaendelea nayo kwa kipindi chote utakachomfahamu, hela atakuomba siku akiwa na shida kweli..au utampa hela siku utakayopenda..itakuwa lazma tu umpe hela ile siku ukishamuoa, mmekuwa mke na mume

Doh kumbe nlikuwa naota usingizini, It's almost impossible kupata mwanamke wa hivo
 
Kwa miaka ya sasa unakaa kabisa unasubiri kuombwa pesa basi unatatizo lazima utambue majukumu yako

Kama mimi nina jukumu LA kumpa mpenzi wangu wa kike pesa ya bure, basi na huyo mpenzi wangu wa kike, nae ana jukumu LA kunipa mimi pesa ya bure Goddess
 
ukimpata wa hivyo kimbia..maana anaweza kuwa ana lengo lake ambalo linaweza kuwa na negative effect on your side
 
Ndo ulonaye ?? Kuna wanawake wamezaliwa kua wake wa watu.

Kuna wanawake wamezaliwa KUONGEZA IDADI YA WANAWAKE DUNIANI.

Inategemea umekutana na yupi kati ya hawa wawili ..

Vere simpoooi
 
Yani upate mwanamke mzuri mwenye chura, unamtongoza leo baada ya siku 4 anakuja ghetto kwako, hakuombi hela bali anafanya usafi, anadeki, anakufulia nguo, anakupikia msosi mtamu, na papuchi anakupa, na baada ya hapo anaondoka bila kukuomba hela, na hii tabia anaendelea nayo kwa kipindi chote utakachomfahamu, hela atakuomba siku akiwa na shida kweli..au utampa hela siku utakayopenda..itakuwa lazma tu umpe hela ile siku ukishamuoa, mmekuwa mke na mume

Doh kumbe nlikuwa naota usingizini, It's almost impossible kupata mwanamke wa hivo
[/QUOTE wapo wengi tu Blaza. Tatizo letu wanaume wa Dar tunapenda kuwahukumu wanawake wa Tanzania nzima kwa kupitia hii midangaji tunayokutana nayo hapa mjini. Wapo wanawake wengi tu wenye upendo na kujali bila ya kuangalia mfuko wako.. Nenda mikoani Mzee. Nenda mwanza, taboraa
 
Nini maana ya kuwa mwanaume/ Kuitwa baba haya majina yamepewa heshima fulani.Mwenyezi Mungu huwa tunamuita Mungu baba /kumrefer mwanaume hata sikumoja huwezi kumsikia mtu akimrefer Mungu kwa jinsia ya kike lbd awe ana mkashifu. Maumbile yenu yalivyo yameuumbwa kwa dizaini hiyo kutoa.Mwanaume kamili ameumbwa kwa dizaini ya kumililiki kutunza na kuwa na madaraka if you fall out of this category tambua una walakini. Jitambue jitume piga kazi
 
Sio shida kumpa mwanamke pesa au yeye kukuomba....mfano kuna kutoa pesa pale mpenzi wako anapo kuja kukutembelea mimi huwa naita nime refund costs zake alizo tumia kuja kwangu na huwa naweka extra.

Pia huwa mara moja moja najiongeza maana ananipigia simu mara kwa mara soo kuna cost ana tumia kama za vocha etc sasa huwa najiwekea labda kwa wiki naweza nikamtumia kiasi fulani cha pesa namwambia baby hiyo utaongezea kwenye mambo yako. Na sio kila wiki natuma

Kwa trend ya ninavyo mmtreat sijawahi kuombwa pesa ambayo nilishtuka au nikahisi kwamba nachunwa....akiniomba pesa kwa maana ya pesa kubwa kuanzia labda 3k unakuta anashida kweli kweli na inaonekana tena unakuta amenificha mimi nagundua mwishoni
 
Back
Top Bottom