Mbinu za kuishi na baba mkwe

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,039
1: Usiruhusu akuzoee kabisa maana ataanza kuongoza ndoa yenu
2: Asije akaona ukitabasamu hata kwa bahati mbaya
3: Usipende kwenda ukweni kwa sababu zisizokuwa za msingi
4: Mpigie simu tu pale inapobidi tena iwe simu ya ulazima
5: Usikubali hata siku moja jina litoke ukweli la kumpa mtoto wako hata kama una watoto 24
6: Usimruhu mkeo kila mara kwenda kwao kwa sababu zisizokuwa za msingi
7: Usikubali kushirikishwa kwenye vikao vya ukweni maana mazoea ndio yanaanzia hapo!

NB: Tumia mbinu hizi endapo utaona baba mkwe ameanza kukupanda kichwani lakini kama ni mstaarabu ishi nae kama mshua tu

Sent using IPhone X
 
Haha.Hiyo no 1 nimeielewa mkuu ngoja niisave kwenye note book itakuja nisaidia mbeleni
 
hiyo ya vikao nakubari ndugu ukishiriki sana vikao vyao wanakuchukulia poa
mm wakisema inabidi niende j2 hii kuna vikao mie sawa ila siku ya kikao ikifika lazima itokee ishu ya dharura kusema nasafiri shenzi nzao kuna makabira furani ukio bint zao wanataka wakupangie kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa mzee baba inabidi ukwepe vikao

Sent using IPhone X
 
Back
Top Bottom