Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

1. Falling in love is like being on drugs That feeling of euphoria you get when you fall in love is the same feeling that drug users experience, according to one study published in The Journal of...
4 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Nina 30 miaka natafuta mwanamke kuanzia miaka 40 kuendelea awe dini yoyote kabila lolote. Awe anajishukhulisha na chochote hata akiwa na watoto sio mbaya awe tayari kuchek afya pia asiwe...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Najaribu tu kuwaza, baada ya leo kuruka na Jane kesho Asha kesho kutwa Rozy na wengine kibao je kuna utofauti wowote wa ladha? Lazima tubadilike maradhi mengi siku hizi kama umeoa baki na mkeo...
17 Reactions
354 Replies
32K Views
Kwa mwanamke anayetafuta mume, nicheck tufahamiane. Umri wangu late 30s, Mkristo, naishi Dodoma, so nikimpata aliye Dodoma pia itapendeza zaidi. Mimi ni mwajiriwa serikalini but pia nafanya mishe...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
HII IMENIUMA SANA. Ukweli usemwe wazi wanawake ni wakatili hapana mfano chini ya jua. Hakuna mwanaume hata kama ni mkorofi vipi atamhadaa mwanae ili kumuumiza mama yake mfano wa huyu mama...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Tangu nchi ipate uhuru haijawahi kutokea hata siku 1 wanafunzi wa vyuoni/mashuleni,nk wakakutana nyumbani kwa pamoja kwa muda mrefu kama huu tuliotangaziwa na Waziri Majaliwa, ilikuwa ni mpishano...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Kuna mtu anamiliki biashara ya kama laki mbili tu lakini usiku halali anaiwaza hiyo biashara tu,moyoni hana amani,akili haina utulivu na hata maisha hayana ladha wala amani tena kwasababu...
8 Reactions
14 Replies
6K Views
Wapendwa, Kwa wenye ufahamu naomba msaada wa maana na matumizi sahihi ya maneno haya matatu NGONO, TENDO LA NDOA NA UNYUMBA. Nimeyasikia mara nyingi lakini sina hakika kama yanamaanisha kitu...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari wana Ndugu, NIende kwa point moja kwa moja................. Katika tafiti zangu nimegundua kuwa wanawake wengi saana hawapo kaika mahusiano na waliokuwa katika mahusiano wengi pia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wiki iliyopita nimekaita kamanzi kakaja na kijiji wakati nilikaambia kaje kenyewe tule bata ivi mabaharia misala kama hii waga mnafanyeje??? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Yes, Kuna taratibu nyingi kwenye jamii zetu, tumezaliwa tukazokuta na nyingine ni mila na desturi za kawaida na nyingine ni tamaduni za kidini. Baadhi ya hizi tamaduni zimejenga mazingira ya...
4 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari wanjamvi na poleni na hili janga la Corona. Mitandao ya kijamii imekuwa ikiongezeka kila kukicha. Mitandao kama watsap, Twitter nk. Mitandao hii imekuwa ikiboreshwa kila mara na watumiaji...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Fathers are the most underated heroes. (Mashujaa wasiozungumziwa)
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu natumai ni wazima kuna tabia kwakweli humu sijapendezwa nayo unakuta MTU anapost anahitaji mwenz wanakuja watu na kuanza kumdhihaki kumsema na kejeli kiukweli huo ni ushamba.kama hauko...
2 Reactions
2 Replies
603 Views
Habarini wakuu, Tumekuwa tukisikia kesi kadhaa za unyanyasanyi ambao waajiri wanawafanyia wajiriwa wao ambao ni wasaidizi wa nyumbani. Pia tumekuwa tukisikia matendo ya uhalifu na ukatili ambao...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tuipishe Corona kdg Ipumue Embu tujadili hili Kwann dawa Yanguvu za kiume Imekuwa deal hasa hadi Kwa vijana ? Inamaana Kwamba Vijana nao Nguvu za kiume ni Mhali ? Na nikwann ? Sent using Jamii...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Daah Dunia inakwenda kasi sana, wakati namaliza Degree yangu nilikuwa na mzee usiku tukipiga story nyingi za maisha. Katika story zile nili note kitu kimoja tu kuwa mwanamke anahitaji matunzo hata...
7 Reactions
66 Replies
8K Views
Poleni kwa majukumu ya hapa na pale wakuu, Binafsi nimeshuhudia baadhi ya watu wangu wa karibu wakilia kilio cha mbwa mwizi baada ya wakezao kubadili tabia baada ya kuja dar. Kisa kiko hivi:-...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Katika jamii zetu nyingi mtoto hawezi kukaa kwa wazazi wake maisha yake yote, ni lazima kuna wakati atahitaji/atatakiwa kuondoka nyumbani kwa wazazi wake na kuanzisha maisha yake, pengine mbali...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…