Mwanamke yeyote anahitaji Matunzo...

Mwanamke yeyote anahitaji Matunzo...

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,511
Daah Dunia inakwenda kasi sana, wakati namaliza Degree yangu nilikuwa na mzee usiku tukipiga story nyingi za maisha. Katika story zile nili note kitu kimoja tu kuwa mwanamke anahitaji matunzo hata kama anapesa zile ni zake me hazinihusu mwanaume hutakiw kukimbia majukumu kwa mwanamke na usisubiri kuombwa jiongeze, mfano umeona mpenz wako kuna kitu anamiss bhs mpe hela au mnunulie, Huo ndo uanaume na sio kulalamika eti wanawake wanapenda pesa huo sio uanaume.

Narud kwenye topic, Jana nilikua kidimbwi beach mbele yangu kulikuwa na masela wakijisifia wanakula bure yan wanajimwambafai kula bure, aisee niliona aibu hivi mwanaume unapataje ujasir wa kuf**k bure yani hugharamii wewe kazi kuslide legs tu[emoji1316][emoji1316].

Ndio maana hawafiki kibo kwa dizain hii, mwanamke yoyote unaekutana nae anahitaj matunzo hta kama mmekutana club ukatoka nae asbh mpe nauli asepe zake so kutokomea mapema unamwacha.

Ukiwa hugharamii maisha yako always yatakuw ya stress tu huwez jiamn mbele ya mwanamke wako kama hugharamii dharau lazma uoneshwee bila ubishi.

Wanaume wanagharamia na hawakimbii majukumu kwa wanawake zao. Nahis volume inatosha,

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tatizo zio kugharamia tatizo wanapotaka uwagegede wao tuu peke yao wakati wanajua kabisa warembo wapo wengi duniani.
 
Mleta mada jifunze kutofautisha Mke na Mwanamke.
Mke kweli anahitaji matunzo, ila huyo mwanamke mpumbavu anayekubali kukuvulia nguo wakati wewe sio mmewe huyo hastahili hata mia mbovu.

Unazingua

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Shida mkipata hela za uzeeni mnajikuta mnavimba kwenye matunzo kuwabania vijana wasipewe free.
 
Back
Top Bottom