Okinawan
JF-Expert Member
- Apr 10, 2018
- 253
- 259
Poleni kwa majukumu ya hapa na pale wakuu,
Binafsi nimeshuhudia baadhi ya watu wangu wa karibu wakilia kilio cha mbwa mwizi baada ya wakezao kubadili tabia baada ya kuja dar.
Kisa kiko hivi:-
Kunajamaa yangu mmoja alipofikia umri wa kuoa aliamua kufunga safari na kwenda vijiji vya ndani kutafuta mke,maana aliona wanawake wa mjini watamsumbua.Basi alipofika huko alibahatika kupata mke na alifanyataratibu kadhaa akakabidhiwa mke.
Ishu ilianza hivi:
Mke alikuwa msikivu,mpole sana na mwenye heshima kweli kweli kwa mume,walizaa mtoto mmoja baada ya kuishi kwa muda fulani simu za ndugu wa mwanamke zikawa haziishi wakiwa wanahitaji misaada mbalimbali yule mumewe akawa anasaidia kiroho safi kwasababu mke hakuwa na kazi yeyote baada ya siku kuzidi kwenda hali ya mkewe ikawa inazidi kubadilika kwasababu yule mwanamke na mama yake wakawa wanataka wamtawale jamaa kwa kila kitu yaani mke akisema jambo yaani lisipingwe yaani ikafikia hatua mama mkwe wa jamaa anajua A to Z ya mambo ya ndani ya mshkaji ,ikafikia hatua yule jamaa akitoka kazini anakuta mkewe amenuna anapojaribu kumuuliza anasema mama kasema wewe hunipendi na wala hunifai basi jamaa anajaribu kutatua yanaisha ,siku nyingine anakuwa sebuleni muda mrefu anaangalia TV tu haji geto kumpa unyumba jamaa mpaka jamaa anaenda kumuomba unyumba ndio anakubali.Chakula alikuwa hapiki kwa wakati yeye na TV tu,malezi ya mtoto pia hayakuwa mazuri kabisa jamaa anauwezo lakini mtoto hali kwa wakati,kushinda kwa majirani na kuongea umbea tu.
Mwisho
Yule Dada aligombana na jamaa na siku hiyo hiyo jioni alichukua kila kilichochake na kuamua kuondoka na mtoto huku akiutangazia uma kuwa alikua ananyanyaswa na kupigwa,jamaa alipofanya uchunguzi aliambiwa kuwa mkewe alishawaga kuwa IPO siku atandoka maana ameshapata bwana mwingine.The end
Sasa najiuliza hawa wanawake waliotoka kaya maskini wanalaana za ukoo au mapepo ambayo huwa yanawafuatilia ili wasitoboe kimaisha,wakuu karibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app