Tukianza na wanawake ambao kwa muonekano wa haraka haraka hutakiwi kuoa kabisa..
1.Wanaovaa suruali na vimini wakiamini kwamba huo ni uhuru wao wa mavazi - Hawa wanakuwa wakorofi kwenye ndoa kwa...
Kuzaa na mtu ni kuweka alama katika mahusiano yenu, haijalishi mahusiano yenu yalikufa au laa. Hata kama mliachana miaka mingi liyopita na kila mmoja akawa na mpenzi mwingine, haiwezi kufuta ile...
Imenitokea mara tatu hivi kukutana na wake za watu ana kwa kwa ana katika lodge mmojawapo naheshimiana sana na familia yake!Hii kitu ilinifikirisha sana hasa ukizingatia wawili kati yao ni wacha...
Sisi ambao tuna experience hii tunaona hali halisi, ukimkeketa mwanamke unamtengenezea mazingira magumu katika ndoa yake au mahusiano ya kimapenzi.
Kumkeketa mwanamke unamuacha kama chai isiyo na...
Kuna mdada mmoja yuko Arusha aliniomba ushauri kuwa mama yake mzazi hampendi na hamtaki Boyfriend wake.
Na sababu kubwa ni kuwa huyo boyfriend alimpromise mama mkwe kumnunulia simu ya dhaman...
Jamaa yangu alikuwa na mpenzi wake tukaona sio vyema kukaa hivihivi ni bora kujitambulisha na kulipa mahari kabisa.
Kisa kikawa kisa.
Tumefika pale tukakuta watu wengine kama wanne hivi...
Hapa napenda kuwasikia wale walioishi maisha ya ndoa kwa miaka kadhaa (mwaka na zaidi) na wakazaa watoto halafu wakaamua kuachana, yaani mme na mke wakaamua kila mmoja achukue hamsini zake.
Je...
Uhuru ni kitu mhimu sana katika maisha. Unakupa kufurahia upekee wako, unakupa umiliki wa utu wako na mambo yako, na kukufanya ujione unayo haki ya kufanya utakacho bila kuathiriwa na mtazamo au...
Mungu baada ya kumuumba Adamu na kumpa majukumu ya kufanya na kumpa misingi ya kufanya nini afanye na nini asifanye! Haya majukumu na maelekezo alipewa Adam kabla ya kuumbiwa Eva wake.
Mwz2:7-17...
Wiki jana nilienda Pharmacy moja kubwa tu maeneo ya magu mjini pembeni ya stand,nikamkuta mama mtu mzima kama miaka 50 hivi mnene kapanda hewani,Lengo la kwenda ile pharmacy ilikuwa kununua...
Wanajukwaa, habarini!
Itifaki imezingatiwa.
Nimekuwa nikijiuliza sijapata jawabu zuri, mwanamke anamkumbuka sana mwanaume yupi katika mapenzi?
1) Je, ni yule aliyemtolea bikra?
2) Ni yule...
Yaani huyu binti alinizoea kimasihara.
Aliniomba urafiki instagram nikamkubalia mara akaanza ku-like post zangu zote, mara kanaanza kucoment 'sikuwezi' nikamwambia kwa nini? Akasema nimemshinda...
mambo jf?
naomba kuwauliza,mke wangu ni mwajiriwa kwenye bank flani,amefikia level ya kuwa branch manager,so somehow yuko busy kiaiana.ofcoz ndoa yetu haina mgogoro wowote mpaka sasa as...
Hi everyone in here.
Nitakuwa muongo sana kama ntasema sijawamisi. Jamani nimewamisi ile mbaya!
Nimemisi upendo wenu na umoja wenu ndugu zangu watanzania. Nakumbuka siku mojanilipelekwa sehemu...
Rejea tu Kichwa cha habari hapo juu na anza zako tu Kutiririka na Kuserereka.
Nitashukuru kwa majibu yenu ya ' Kimbinu ' kwani nina ' zoezi ' lililo ' maalum ' kati ya Saa 5 hadi Saa 7 mchana na...
Haka katabia kwa kweli sijakapenda pia jamii haipendi tabia kama hii
Wanafunzi walifunga shule wanapaswa wawe nyumbani kwao badala yake wanaishi unyumba na wanaume kwenye magheto ya wanaume...
Umemtumia mtu text lakini hajakujibu, meseji imepokelewa lakini hajajihangaisha kukujibu. Ukaamua kuiweka simu pembeni kuendelea na mambo mengine baadae unarudi bado unaona kimya hajakujibu...
Yaani haya mapenzi ni ya ajabu sana, kuna mtu nampenda sana ..kwakuwa anajua nampenda basi ndiyo ananinyanyasa kweli..
Nimekuwa mtu wa kulia tu...
Jana nimemkuta na msichana mwngine tena...
Wakuu i hope mnaendelea kuchukua tahadhari juu ya kujinga na Corona. Mwenyezi Mungu atunusuru na hili janga. Inshallah!!
Back to the mada.
Jana mishale ya saa 2 usiku, nikiwa natoka kupata...