Mwanamke anamkumbuka mwanaume yupi zaidi maishani mwake?

Nkolandoto

JF-Expert Member
Sep 18, 2016
4,102
4,024
Wanajukwaa, habarini!
Itifaki imezingatiwa.

Nimekuwa nikijiuliza sijapata jawabu zuri, mwanamke anamkumbuka sana mwanaume yupi katika mapenzi?

1) Je, ni yule aliyemtolea bikra?
2) Ni yule aliyemfikisha kwa mara ya kwanza kileleni (orgasms)?

Nawasilisha wakuu
Natumai nitapata jawabu sahihi leo.
 
Tunataka amani, pesa tutatafuta wenyewe!
Wewe ni mwanamke safi sana!!
Maana naona wengine ni njemba lkn zinawajibia warembo
Hebu sasa niambie ni yupi utakayemkumbuka maishani mwako
1)aliyekutoa bikra au 2)aliyekufikisha kileleni kwa mara ya kwanza
 
Anaenipa hela siwezi kuacha kumkumbuka. Hawa watoa bikra cjui orgasm hakuna kipya maana mi mwanaume lazima awe mjanja ajue kunifikisha so kufikishwa kwangu hakuna uspecial kama kupewa hela. Maana ukinipa hela wew mwenyewe hutanisahau yani.
 
Back
Top Bottom