Je, Kuachana (Break up) Kulikuwaje Kwako?

mwemweremwemwere

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2016
Posts
605
Reaction score
681
Hapa napenda kuwasikia wale walioishi maisha ya ndoa kwa miaka kadhaa (mwaka na zaidi) na wakazaa watoto halafu wakaamua kuachana, yaani mme na mke wakaamua kila mmoja achukue hamsini zake.

Je kuachana kulikuwa rahisi au kugumu kiasi gani kwako?

Je vipi maisha baada ya kuachana yalikuwaje?

Je hatima ya watoto baada ya kuachana ilikuwaje?

Je ulijifunza nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuachana kwangu kulikuwa rahisi

Maisha yangu baada ya kuachana yamekuwa marahisi

Hatima ya watoto ni nzuri na ninaishi nao mimi kwa furaha na amani

Nimejifunza kuwa ndoa siyo lazima
kwa mwanamke kama wewe kutokuwa na ndoa haishangazi.michango yako humu inaonesha wewe una stress sana na matatizo ya kisaikolojia.tafuta ndoa.ndoa ni muhimu sana kwa mwanamke
 
Hapa napenda kuwasikia wale walioishi maisha ya ndoa kwa miaka kadhaa (mwaka na zaidi) na wakazaa watoto halafu wakaamua kuachana, yaani mme na mke wakaamua kila mmoja achukue hamsini zake.

Je kuachana kulikuwa rahisi au kugumu kiasi gani kwako?

Je vipi maisha baada ya kuachana yalikuwaje?

Je hatima ya watoto baada ya kuachana ilikuwaje?

Je ulijifunza nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Waweza mwambia moderator aweke neno Divorce/separation labda

breakup imekaa ki'girlfriend na boyfriend
Moderator
 
Sitaki kukumbuka maumivu
Hapa napenda kuwasikia wale walioishi maisha ya ndoa kwa miaka kadhaa (mwaka na zaidi) na wakazaa watoto halafu wakaamua kuachana, yaani mme na mke wakaamua kila mmoja achukue hamsini zake.

Je kuachana kulikuwa rahisi au kugumu kiasi gani kwako?

Je vipi maisha baada ya kuachana yalikuwaje?

Je hatima ya watoto baada ya kuachana ilikuwaje?

Je ulijifunza nini?

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
"Anaonekana ana stress na matatizo ya kisaikolojia. Atafute ndoa ni muhimu sana kwa mwanamke ".

Kwani unajua aliyoyapitia hadi akaamua kuachana na ndoa yake? Vile unamuona ana matatizo ya kisaikolojia unajuaje kama ni matatizo yaliyotokana na ndoa aliyokuwemo? Hivi unadhani kuna mwanamke anapenda kuachana na mume wake aamue kuondoka na watoto?

After all ndoa ni hatua ya maisha ila sio muhimu kama unavodhani.
Kadada ka gaidi haka! Kakipewa hata bunduki haka hakakucheleweshi kwa shetani😜
 
Kwendraaaaa
[emoji23][emoji23]
Bila shaka uliachwa alipokuona na lihirizi umelitwika kiunoni!! Halafu ukaanza kuomba msamaha bado umelivaa lina ning'inia dada wa watu akona Bora aache mbachao kwa msala upitao [emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
"Anaonekana ana stress na matatizo ya kisaikolojia. Atafute ndoa ni muhimu sana kwa mwanamke ".

Kwani unajua aliyoyapitia hadi akaamua kuachana na ndoa yake? Vile unamuona ana matatizo ya kisaikolojia unajuaje kama ni matatizo yaliyotokana na ndoa aliyokuwemo? Hivi unadhani kuna mwanamke anapenda kuachana na mume wake aamue kuondoka na watoto?

After all ndoa ni hatua ya maisha ila sio muhimu kama unavodhani.
nimejua ana matatizo kutokana na michango yake na maoni yake kuhusu wanaume.still ana matatizo.wanaume sisi ndo huwa tunakataa ndoa.hakuna mwanamke ambaye hajawahi kuwa ndoto ya kuolewa.anasema ndoa sio lazima.kama ndoa sio lazima kwanini aliolewa????.anasema ndoa sio lazima baada ya kuachwa. hakuna mwanamke anayependa ndoa yake ivunjike lakini pia mwanamke mpumbavu ndiyo huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.
 
Hapa napenda kuwasikia wale walioishi maisha ya ndoa kwa miaka kadhaa (mwaka na zaidi) na wakazaa watoto halafu wakaamua kuachana, yaani mme na mke wakaamua kila mmoja achukue hamsini zake.

Je kuachana kulikuwa rahisi au kugumu kiasi gani kwako?

Je vipi maisha baada ya kuachana yalikuwaje?

Je hatima ya watoto baada ya kuachana ilikuwaje?

Je ulijifunza nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine hizo breakup hatuna imepita miaka mingi
 
"Anaonekana ana stress na matatizo ya kisaikolojia. Atafute ndoa ni muhimu sana kwa mwanamke ".

Kwani unajua aliyoyapitia hadi akaamua kuachana na ndoa yake? Vile unamuona ana matatizo ya kisaikolojia unajuaje kama ni matatizo yaliyotokana na ndoa aliyokuwemo? Hivi unadhani kuna mwanamke anapenda kuachana na mume wake aamue kuondoka na watoto?

After all ndoa ni hatua ya maisha ila sio muhimu kama unavodhani.
ndoa ni muhimu sio kama unavyodhani labda kwa mwanaume na sio mwanamke
 
Hivi ukiambiwa uthibitishe kama kweli niliolewa nikaachika utathibitisha kwa uhakika kabisa? Au kwa sababu nimesema mwenyewe ndiyo umepata pa kutolea kinyongo chako?

Masikini pole inaonekana unaumizwa sana na michango yangu hadi unafikia hatua ya kuhitimisha kuwa nina stress sababu nimeachika, bila hata kuwa na uhakika na unachokiongea. Ndugu yangu hii ni JF mtu anaweza akasema lolote analojisikia kwa wakati huo, sasa siku ukikuta kwenye uzi mwingine nimecomment kuwa mimi ni mwanaume napo sijui utaamini.

Bahati nzuri humu wapo wengi wanaonijua nje ya JF, ndiyo maana wengine wamecheka ile comment yangu na wengine wamekushangaa unatokwa povu kwa kitu ambacho haujakithibitisha wala haukijui.

Boy just relax and save your energy, narudia tena pole sana kama unaumia. I'm only responsible for what I say, what you perceive is none of my business.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] na wewe utajuaje kama nipo serious.I was just joking nashangaa umeandika gazeti ambalo nimelisoma robo tu.sasa watu unaojuana nao nje ya jf mimi inanihusu nini
 
ndoa ni muhimu sio kama unavyodhani labda kwa mwanaume na sio mwanamke

Mkuu uko sahihi, wanawake walio shindwa ndoa. Mitandaoni na kwenye umati wa watu wanaonekana wako strong sana. Lakini mioyoni ni weak sana sana. Adamu kuubwa na kaa pekeyake kabla ya hawa ni ishara kwamba mwanaume hamuitaji mwanamke. Lakini mwanamke lazima amhitaji mwanaume. Kwani mwanaume ni mbegu
 
Back
Top Bottom