Corona ikiisha, nina Zawadi yenu

Corona ikiisha, nina Zawadi yenu

Junior Rutashoborwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2019
Posts
228
Reaction score
210
Hi everyone in here.
Nitakuwa muongo sana kama ntasema sijawamisi. Jamani nimewamisi ile mbaya!

Nimemisi upendo wenu na umoja wenu ndugu zangu watanzania. Nakumbuka siku mojanilipelekwa sehemu moja hapo Dar inaitwa " Mbuzi" kama sio " Bunza" kuna kijana alinunua mguu wa kuku mmoja. Akagawana na mwenzake. Aisee sijawahi ona upendo kama huu huku Wales.

Nisiongee mengi sana, ngoja niende kwenye lengo la uzi wangu. Najua wengi wenu mnakumbuka maswahibu ya kimahusiano yaliyonipata hpo nyuma. Namshukuru kuna watu walinishauri mambo mazuri sana mpaka sasa nimepona kidonda asanteni sana wana JF.

Najua wote mnajua hali iliyopo sasa duniani. Kuna janga la Corona ambalo limeharibu uchumi wa dunia nzima. Kuanzia huku niliko dunia ya kwanza mpaka dunia ya tatu Tanzania.

Hii vita ni yetu site tunapaswa tufate taratibu zinazowekwa na wizara ya afya na serikali yetu pendwa ya Mh. Magufuli.

Kwa ufupi, nimepata mchumba mpya. Tena sio mzungu ni muafrika mwenzetu, raia wa Gabon, anaitwa Lovenester Martin Bongo. Nilikutana nae katika miangaiko yangu ya kubangaiza maisha huku Uingereza.

Kuhusu, Linda ndo hvyo tuliachana na sasa anamchumba mwingine Myahudi mwenzake huko Massachusetts, Marekani.

Nawaahidi, Corona ikiisha nakuja kumtambulisha rasmi nyumbani, Tanzania. Kwa sasa yupo Quarantine, Yugoslavia, alienda kufatilia miradi ya mama yake.

Tuepuke Safari Zisizo lazima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukute haya mpenzi tu huna,
Na miguu ya kuku ndo msos wako
 
Sisi waafrika tuna akili fupi sana, Corona haijaanza wewe unazungumzia Corona kuisha!
 
Hi everyone in here.
Nitakuwa muongo sana kama ntasema sijawamisi. Jamani nimewamisi ile mbaya!

Nimemisi upendo wenu na umoja wenu ndugu zangu watanzania. Nakumbuka siku mojanilipelekwa sehemu moja hapo Dar inaitwa " Mbuzi" kama sio " Bunza" kuna kijana alinunua mguu wa kuku mmoja. Akagawana na mwenzake. Aisee sijawahi ona upendo kama huu huku Wales.

Nisiongee mengi sana, ngoja niende kwenye lengo la uzi wangu. Najua wengi wenu mnakumbuka maswahibu ya kimahusiano yaliyonipata hpo nyuma. Namshukuru kuna watu walinishauri mambo mazuri sana mpaka sasa nimepona kidonda asanteni sana wana JF.

Najua wote mnajua hali iliyopo sasa duniani. Kuna janga la Corona ambalo limeharibu uchumi wa dunia nzima. Kuanzia huku niliko dunia ya kwanza mpaka dunia ya tatu Tanzania.

Hii vita ni yetu site tunapaswa tufate taratibu zinazowekwa na wizara ya afya na serikali yetu pendwa ya Mh. Magufuli.

Kwa ufupi, nimepata mchumba mpya. Tena sio mzungu ni muafrika mwenzetu, raia wa Gabon, anaitwa Lovenester Martin Bongo. Nilikutana nae katika miangaiko yangu ya kubangaiza maisha huku Uingereza.

Kuhusu, Linda ndo hvyo tuliachana na sasa anamchumba mwingine Myahudi mwenzake huko Massachusetts, Marekani.

Nawaahidi, Corona ikiisha nakuja kumtambulisha rasmi nyumbani, Tanzania. Kwa sasa yupo Quarantine, Yugoslavia, alienda kufatilia miradi ya mama yake.

Tuepuke Safari Zisizo lazima.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jipe mwenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom