Mke kumuachia dada wa kazi majukumu aliyopaswa kufanya yeye

kyanyangwe

Member
Oct 31, 2018
77
150
mambo jf?
naomba kuwauliza,mke wangu ni mwajiriwa kwenye bank flani,amefikia level ya kuwa branch manager,so somehow yuko busy kiaiana.ofcoz ndoa yetu haina mgogoro wowote mpaka sasa as tunaheshimiana vizuri tu,ila sasa limeibuka tatizo la mke kumuachia housegal na mtoto wa dada yake majukumu yote ya nyumbani,mfano last two weeks nilirudi home nikamkuta mtoto wa dada yake anafua boxa zangu,sikujiskia vyema kwa kweli, leo tena nimerudi nyumbani nimemuona huyo mtoto wa dada yake anafua chu.pi za wife,nimeshindwa kuelewa hii ni hali ya kawaida au ni nini,au ndo mambo ya kupandishwa cheo hayo ndio yanamfanya mpaka anasahau majukumu yake?
Naombeni ushauri,hili ni jamabo la kawaida kweli?
 
Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
15,524
2,000
Shida sio Mkeo wala Kazi yake.

Niamin , Shida ni wewe unayekaa kuona ujinga na mambo yasokupendeza alafu bado UNAKAA KIMYA !!.Mwanamke pamoja na ubize wa kazi zake, kuna majukumu kabisa kabisa hatakiwi kumwachia mwingine ayafanye.

Moja wapo niilo la kufuliwa boksa zako na mdada .

Vile utakavyoamua kumuishi mkeo/Mpenzi ndivo nayeye atakuishi... Ukimzoesha kukaa kimya hata anapokukwaza, ataendelea ivoivo .

Ukimzoesha kuchukua hatua pale anapokukwaza, ndivo pia ataepukana nayale yanayokukwaza.Mimi Sijaoa , uzoefu nilionao ni kuishi na mwanamke kwa muda Fulani , na kupitia huo muda nilijifunza kua "Kuna wakati wanawake wanabeep".

Alafu mwisho wasiku, kukaa kwako kimya, hakumfanyi akuone Mume Bora, sanasana unaelekea kupoteza hata kile kidogo cha heshima ulichobakisha.

Katika hayo yote , Linda sana

1-Heshima yako kama Mwanaume/Baba

2-Mapenzi

3-Matunzo na Ujalifu wake kwako kama Mumeo. (Hapa namanisha ivi, Lazma ajue kesho unavaa nguo ya aina gani, lazima ujue Umekula ? n.k).

Mwisho , baada ya kufunua kinywa chako , Basi hakikisha kitandani Unampa kitu kinachomkonga moyo, kitu ambacho kinamfanya ajifeel yupo kwa 20yrs....... .utakua shahidi wako mwenyewe sababu atakufanyia Kila kitu ,nakuyaepuka hayo yanayokukwaza.
 
Daby

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
32,359
2,000
Kwanini ukienda kuoga usifue boxer yako?

Nunua mashine kuepusha purukushani mkuu branch manager kamilioni kitu gani...anaweza kujipigia pande mkopo.
 
Lucas Mobutu

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
13,095
2,000
mambo jf?
naomba kuwauliza,mke wangu ni mwajiriwa kwenye bank flani,amefikia level ya kuwa branch manager,so somehow yuko busy kiaiana.ofcoz ndoa yetu haina mgogoro wowote mpaka sasa as tunaheshimiana vizuri tu,ila sasa limeibuka tatizo la mke kumuachia housegal na mtoto wa dada yake majukumu yote ya nyumbani,mfano last two weeks nilirudi home nikamkuta mtoto wa dada yake anafua boxa zangu,sikujiskia vyema kwa kweli, leo tena nimerudi nyumbani nimemuona huyo mtoto wa dada yake anafua chu.pi za wife,nimeshindwa kuelewa hii ni hali ya kawaida au ni nini,au ndo mambo ya kupandishwa cheo hayo ndio yanamfanya mpaka anasahau majukumu yake?
Naombeni ushauri,hili ni jamabo la kawaida kweli?
hiyo ni indicator anakupima, usipochukua maamuzi ya kiuanaume soon utachapiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Omusolopogasi

JF-Expert Member
Aug 31, 2017
2,793
2,000
Hata mimi nimejiuliza hivyo. Kama hawezi kununua mashine ya kufua nguo, kwa nini asifue mwenyewe? Haya mambo ya kujifanya sijui mimi mwanaume, ni ya kizamani sana. Fua ngo zako basi.
Kwanini ukienda kuoga usifue boxer yako?

Nunua mashine kuepusha purukushani mkuu branch manager kamilioni kitu gani...anaweza kujipigia pande mkopo.
 
kyanyangwe

Member
Oct 31, 2018
77
150
Shida sio Mkeo wala Kazi yake.

Niamin , Shida ni wewe unayekaa kuona ujinga na mambo yasokupendeza alafu bado UNAKAA KIMYA !!.Mwanamke pamoja na ubize wa kazi zake, kuna majukumu kabisa kabisa hatakiwi kumwachia mwingine ayafanye.

Moja wapo niilo la kufuliwa boksa zako na mdada .

Vile utakavyoamua kumuishi mkeo/Mpenzi ndivo nayeye atakuishi... Ukimzoesha kukaa kimya hata anapokukwaza, ataendelea ivoivo .

Ukimzoesha kuchukua hatua pale anapokukwaza, ndivo pia ataepukana nayale yanayokukwaza.Mimi Sijaoa , uzoefu nilionao ni kuishi na mwanamke kwa muda Fulani , na kupitia huo muda nilijifunza kua "Kuna wakati wanawake wanabeep".

Alafu mwisho wasiku, kukaa kwako kimya, hakumfanyi akuone Mume Bora, sanasana unaelekea kupoteza hata kile kidogo cha heshima ulichobakisha.

Katika hayo yote , Linda sana

1-Heshima yako kama Mwanaume/Baba

2-Mapenzi

3-Matunzo na Ujalifu wake kwako kama Mumeo. (Hapa namanisha ivi, Lazma ajue kesho unavaa nguo ya aina gani, lazima ujue Umekula ? n.k).

Mwisho , baada ya kufunua kinywa chako , Basi hakikisha kitandani Unampa kitu kinachomkonga moyo, kitu ambacho kinamfanya ajifeel yupo kwa 20yrs....... .utakua shahidi wako mwenyewe sababu atakufanyia Kila kitu ,nakuyaepuka hayo yanayokukwaza.
umeeleweka mkuu.asante
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom