Kila mwanamke anahitaji mwanaume na hakuna kupinga

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,212
Amani iwe kwenu.

Moja kwa moja naanza kwa kusema hakuna mwanamke ambaye anaweza kukaa bila mwanaume na hii nimeisibitisha kwa njia zifuatazo.

1: Kwa kupitia neno "woman"
Hili linadhihirisha wazi kabisa ndani ya mwanamke either kimwili na kiroho kuna mwanaume wake ambae ameumbiwa na anapaswa kulijua hili na kuachamitazamo kuwa anaweza ishi bila ya yy kua na mwanaume

2: Kupitia kauli zao ambazo zinatumika kujifariji kila kukicha

"Tukiwezeshwa tunaweza"

Msemo huu unaashiria wazi kabisa wawezeshaji wakubwa na watoa njia kwa maendeleo ya mwanamke ni Mwanaume pekee ..

Sasa nyie wanawake endeleeni kujifanyeni mnaweza kuishi bila sisi ipo siku wanaumewote tukiama duniani na kwenda kwenye sayari mtakufa maskini na mtabaki ku laumiana maana kwanza mnanafikiana na kusengenyana ninyi kwa ninyi..

NA MALIZIA KWA KUSEMA ...

WANAWAKE WOTE KAENI NA WANAUME KWA KUTULIA HATA KAMA HUYO MWANAUME AWE BADO ANATABIA ZA KIVULANA..

ciproflaxin
 
Usikariri kijana,
Mwanamke anaweza kuishi na Mwanamke akafurahi maisha,

Mwanaume anaweza kuishi na Mwanaume akafurahi maisha,

Mwanamke anaweza kuishi peke yake akafurahi maisha,

Mwanaume anaweza kuishi peke yake akafurahi maisha,

Kupanga ni Kuchagua.

The best Medicine of Corona is to Stay Home.
 
Naona upo kitengo cha kuhamasisha homosexuality.
 
Usikariri kijana,
Mwanamke anaweza kuishi na Mwanamke akafurahi maisha,

Mwanaume anaweza kuishi na Mwanaume akafurahi maisha,

Mwanamke anaweza kuishi peke yake akafurahi maisha,

Mwanaume anaweza kuishi peke yake akafurahi maisha,

Kupanga ni Kuchagua.

The best Medicine of Corona is to Stay Home.
Haya wale wa rainbow wamefika..
 
Usikariri kijana,
Mwanamke anaweza kuishi na Mwanamke akafurahi maisha,

Mwanaume anaweza kuishi na Mwanaume akafurahi maisha,

Mwanamke anaweza kuishi peke yake akafurahi maisha,

Mwanaume anaweza kuishi peke yake akafurahi maisha,

Kupanga ni Kuchagua.

The best Medicine of Corona is to Stay Home.
Civilized person... Haya
 
Back
Top Bottom