Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,488
- 2,762
Wakuu nawasalimu
Kwa kifupi ni kwamba nilikuwa kwenye mahusiano na mwanamke mmoja hiv tukaja kutofautiana tukaachana kila kivyake sasa cha ajabu akiwa na shida ananililia Jana jion kanipigia amepat matatiz road Na gari yake ananiambia nimsaidie anasema mm ndio mtu pekee wa kumsaidia Tumeachana kwa nini ananililia shida zake