Kama unajua hutoi pesa kwa mwanamke pita hapa tupeane uzoefu

gachacha

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
2,581
3,928
Hapa ni kwa wanawake wa kitaa na wale wa viti virefu, wapenda SAVANNA



Mimi kabla huu ugonjwa wa kutowapa pesa(ugumu) haujaingia kichwani nilikuwa na mwanamke mmoja mzuri matata nilikuwa namuamini asilimia 100 kipindi icho, kuwa nitaweka ndani nikawa nasimamia shoo nyingi sana kusuka, shida ndogo ndogo zote namaliza, nikawa kama vile ndo mzazi wake.

Maisha yakasongo vizur tu mwisho wa siku mwamke huyu akaanza kubadilika baada ya kumtia mimba na kutoa, nikawa simwelewi siku moja akanichana kuwa ameamua kuishi mwenyewe mahusiano yamemshinda, nikambembeleza akawa ananielewa ila badae akarudia msimamo wake, ikabidi nikubaliane na hali maisha yakasonga ingawa ikawa ni kipindi kigumu sana,



Sasa haya ndo maisha baada ya kuwa mgumu kama jiwe wa kutotoa pesa,


Niliopoa mwanamke mdogo dogo tu nikawa mgumu sana kutoa pesa, ila nikitaka kupiga kitobo mtoto wa watu ananiletea vizur tu, ila akiniomba tu pesa msela namwambia hamna shida nitakutumia, atasubilia adi achoke na fix kibao anapotezea, tena napiga kitobo.

Matokeo sasa baada ya kuona simtoi pesa, akaanza kusema nimekubali unipotezee mda ila huna hata unacho nisaidia tofaut na kunikunja kunja na kunisugua, mwisho wa siku mapenzi yakafika kikomo.
 
kote huko unapiga kavukavu na hulipi?
subiri matokeo utakapopewa UTI au Gono la mbwa sijui pesa utapatia wapi
vuta mmoja mfungie ujue ni wako hata akiiba nje kwa wenye pesa jioni unaikuta
 
kote huko unapiga kavukavu na hulipi?
subiri matokeo utakapopewa UTI au Gono la mbwa sijui pesa utapatia wapi
vuta mmoja mfungie ujue ni wako hata akiiba nje kwa wenye pesa jioni unaikuta
Mbona pisi chache izo, SD BIOLIN zipo tele mtaani ingawa ni hatari kwa afya .

Kuna mabaharia wana pisi kama treni 4 ivi zinajaa
 
Kuna mabaharia wana pisi kama treni 4 ivi zinajaa
hakuna faida yoyote ya kushindana na tundu ulilotokea
waambie hao mabaharia waingize vidole, mkono hata na wa pili, ndio watatambua hakuna faida au kumkomoa wenye pisi hizo, katika dunia hii nani kaikomoa hiyo mashine ya elastic?
 
Ha ha unakuta pisi umemwahidi pesa ila baada ya shoo unaona ile pesa kama vile unaitupa chooni, unamua kumpiga kiswahili au ukimtumia tu akigeuza mgongo unapiga voda inarudishwa chap
 
Kiukweli tobo nimepiga sana kwanza kbsa huwa wanaanza na vocha then mengne yanafuatia lkn kwakuwa mm mgumu kutoa hela nilishakubali kufedheheshwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom