Wakuu natumaini mnaendelea poa na majukum. Niende moja kwa moja kwa kwa yale yanayonisibu.
Wakuu mi nimeoa takriban mwaka wa 7 sasa plus miaka ya uchumba na mahusiano it's almost miaka kumi nipo...
Kuna Faida ya kuwa mwaminifu kwenye mahusiano, na kuna hasara pia. Ila kwa mtazamo wa kawaida inaonekana kuna hasara kubwa sana kuliko faida. Je nini mtazamo wako kutokana na experience yako?
Mimi nimeokoka, ndio mwaka wa 30 sasa nipo ndani ya Yesu, ukubali ukatae hainihusu. Lakini sicho kilichonileta hapa, kilichonileta hapa ni hii kitu inaitwaga "NDOA"
Ndoa Bwana hainaga mwenyewe...
Jamaa kwake ana mtoto wa kike wa rafiki yake ile kisasa wanaitana 'family friend'.
Mtoto huyu yupo Form 4. Aliletwa kwa jamaa ili aweze kusoma kwa sababu Kwa jamaa kidogo mazingira ni rafiki...
Mara nyingi wanawake wanapopata mimba hupitia kipindi kigumu sana kinachohusisha mabadiliko ya mwili/ hormonal changes.
Hii husababisha wanawake wenye mimba kuwa na hasira sana na wakati mwingine...
Unajua wanaume wengine sijui hawana akili au ndio kujilipua sijaelewa, hasa hawa wanaume wanaojulikana kama Ben 10 😂😂
Tumetoka kuzika Mpendwa wetu tumerudi nyumbani, wanaingia watu kutoa pole...
Mnunnulie mpenzi wako zawadi adimu sio pesa ukimpa pesa kesho mwingine akimpa itakua part 2 movie la kichina.
Agiza zawadi na vitu kutoka nje kupitia
Triple m importer via facebook au call namba...
Habari,
Natafuta mume muislam aliye na hofu na Mungu. Awe na miaka kuanzia 30 na kuendelea awe mkoani kilimanjaro au Arusha.
Nina miaka 28 na nina mtoto mmoja sijawahi kuolewa.
Shukrani
Wasalaam wandugu...
Kabla sijamwoa alinijua kuwa Mimi ni muislam,aliniahidi kubadili dini ila nimpe mda.maisha yamesonga miaka imepita tumejaaliwa kuwa na familia
Siku za hivi karibun mwenzangu...
Nimetokea kumpenda huyu mtoto sana mwanzo alikuwa akiniita kaka, yaani kaka kwa nahisi hakupenda kunikata jina moja kwa moja.
Lakini siku zilivyoenda moyo ulimpenda sana sana, siku moja ikabidi...
Habari za usiku note,
Natumai mwisho wenu wa wiki unaenda vizuri.
Bila kupoteza maudhui, hii ni kali kuliko sigara looh.
Humu JF ndo nimekutana na binamu nyama ya hamu. Na hii imedhihirisha...
Wanaume tu, lets discuss hiyo mada jion hii huku kamvua kakipiga piga hapa mujini DSM.
Kabla sijaanza kwa topic wacha nishare kidgo stori. Jana nilikua na majukum ya oficn siku nzima bhs ile jion...
Alipopokea tu tuzo zake hivi karibuni, Ronaldo alisema, "Shukrani zimwendee Alberto Fantrau." Kisha akasema:
"Naam mimi ni mchezaji bora na mafanikio yangu yote yamesababishwa na rafiki yangu...
Wanawake wengi wamekua wanashangaa, ni warembo/wazuri sana lakini hawaolewi.
Ukiufuata ushauri huu utakuja kunishukuru.
Wanaume tukitaka kupata mwanamke wa kuoa tunaangalia yule mwenye Hofu ya...
1.Kuwa mama
Mwanamke anaweza akawa na kila kitu duniani, ila kama hajazaa mtoto, sio tu jamii iyomzunguka hata yeye mwenyewe atajiona kuna kitu amekikosa.
Mama ndio nguzo ya familia, kaya, taifa...
Kama tujuavyo, pesa ni Kurwa na Mwanamke ni Doto.
Je, kama huna pesa unaweza kujikwamua vipi? Yaani unaweza kumfanyia nini mwanamke akaridhika tuu hata kama huna pesa?
Sent using Jamii Forums...
Kuna dada mmoja hivi nilimuomba namba zake mwezi wa 3, sikumtafuta baada ya kumuomba namba tokea mwezi wa tatu mwaka huu.
Jana nikaona nimtafute, nikajitambulisha pale tukachat kidogo, basi...
Nilitembelea mtandao mmoja kwa ajili ya kuosha macho tu ili kuongeza ufahamu katika ubongo wangu. Nikakutana na wadada wako sokoni, kwa lisaa limoja ni USD 100. Ikabidi nichukue kikokotozi changu...