Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nina mahusiano na mwanaume ambaye tupo shule moja, anaonesha kunipenda sana ila mimi nipo naye kwaajili ya kupunguza stress zangu tu ila nawaza siku akiomba mzigo sijui itskuwaje Shule...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Mapenzi ni moja ya mahitaji muhimu ya wanadamu, kila mmoja wetu ahahitaji kupenda na kupendwa, hapo hamna majadiliano ndio jinsi tulivyoumbwa. Katika enzi za mababu zetu, watu walikuwa wanaishi...
1 Reactions
2 Replies
8K Views
USHAURI TU KWA KINAKAKA (TAKE IT OR LEAVE IT) UNAPOANZA UHUSIANO MPYA EPUKA WANAWAKE WA AINA HII 1.DEMU WAKO WA ZAMANI- Ni vizuri kutorudia mahusiano ya zamani na zaidi kama kwenye mahusiano yenu...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Tusidanganyane, kwenye mapambano ya maisha yako au uhai wako uko mwenyewe. Kama umeoa au kuolewa na mna watoto jua ya kuwa mko wenyewe. Sisi ambao tunajifanya ni marafiki zako, sijui wapambe...
9 Reactions
13 Replies
2K Views
Habarini wakuu, bila Shaka nyote mu wazima wa afya tele. Sasa ndugu zangu katika tafuta tafuta zangu nimefanikiwa kumwona binti mmoja wa kabila la kinyamwanga na nimetokea kumpenda. Nataka...
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Huyu wifi sijui alikuwa na nia gani? Kama unavyojua katika kumfatilia mwanaume kuna siku dada ake kamtumia text mdogo ake mimi nisijue kama yeye maana mimi nilikuwa na no ya dada yake nyingine sio...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu poleni kwa miangaiko ya hapa na pale katika kutafuta chochote riziki ili kujikwamua kiuchumi Nije kwenye mada, mimi nipo eneo x sasa ninapoishi nyumba yetu imepakana na nyumba...
2 Reactions
48 Replies
8K Views
Habari wakuu Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, nipo njia panda nahitaji ushauri wa ziada. Me ni muislam mwenzangu kristo lakini ndg wamesema nisimuoe kisa dini zetu ni tofauti na...
2 Reactions
111 Replies
7K Views
Wakuu poleni na majukumu mbalimbali. Nimeamua kuanzisha uzi huu maalumu wa maswali ya mapenzi, mahusiano,na urafiki ili tuweze kuwa tunapata majibu humu kwenye uzi hu. Faida za kuanzisha uzi huu...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Wakubwa naona kuna mdada jirani karudi likizo ya Corona toka huko kazini kwake Mtwara (ni Mwl) anaanza tabia mbaya! Jumatatu usiku aliniletea daku, sasa jana kaja amevaa mjumba wake na shungi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu / Shikamooni / Assalaam alaykum / Bwana asifiwe Poleni na changamoto za kupambana na CORONA, lakini maisha yanatakiwa yaendelee kwa jitihada tofauti na nawausia msisahau kuchukua...
5 Reactions
57 Replies
7K Views
Bila kupoteza muda! Ili swali nalipeleka kwa wadada,,, Umeolewa na mwanaume mwingine (sio yule alie kutoa bikra) Na ikatokea mkakutana na Jamaa alie kutoa bikra labda kwa muda mrefu umepita toka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za jioni wana MMU, Naomba kupata maoni yenu Je, kipi ni bora zaidi kati ya kuolewa [emoji183][emoji1774][emoji141] na Usipate mtoto au Upate mtoto [emoji1768][emoji2963]na usiolewe...
1 Reactions
57 Replies
6K Views
Wakuu Huyu demu nilitemana nae baada ya kugundua kuwa anagongwa na jamaa mwingine ilikuwa mwezi mmoja kabla ya kugundua aliniambia kuwa anamimba, baada ya kugundua na kumtema nikamwbia tusubiri...
6 Reactions
83 Replies
9K Views
Natumai mmeamka salama wanajamvi. Wakuu hili jambo la nani ni mmiliki halali wa mtoto kati ya baba na mama limekua likinitatiza sana hata nikaona vema kushare nanyi ili tulijadili kwa marefu na...
0 Reactions
80 Replies
12K Views
Habari zenu wakuu *AINA 15 ZA WANAWAKE AMBAO UKIKUTANA NAO UNAPASWA KUVAA CONDOM* *1:Kama anatatoo......... Vaa condom* *2:Kama anakunywa bia.....Vaa condom* *3:Kama anazima simu ukiwa...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimefahamiana nae miaka 9 iliyopita, wakati nafahamiana naye alikuwa na ugomvi na mchumba wake kuwa mchumba wake amezaa nje. Ni yeye alinipenda baada ya kuniona, ilikuwa kwenye social function...
6 Reactions
82 Replies
10K Views
Habari wanajamvi wenzangu!! Poleni kwa janga hili linalotukabili. Mm ni jinsia ME, Umri wangu miaka 29, mrefu sio sana mwembamba. Elimu yangu ni Shahada. Najishughurisha na ujasiriamali. Kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Shoga chizi: Money Penny nimekuona unavyoyarudi Instagram yako kama sio wewe, umetisher shogangu wewe lakini, NI mwisho wa reli😂😂 Money penny: hamna bwana nilikuwa nazuga tu, nambie anti sikuhizi...
1 Reactions
74 Replies
6K Views
NINI MAANA YA DHANA YA NDOA? Kwa mujibu wa sheria ya Ndoa ya Tanzania, ikidhibitika kuwa mwanaume na mwanamke wameiishi pamoja kwa miaka miwli au zaidi, katika hadhi ya mume na mke, basi...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…