Kutembea na mdada 'aliyefunga' ni kosa la nani?

Kutembea na mdada 'aliyefunga' ni kosa la nani?

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,450
Reaction score
10,807
Wakubwa naona kuna mdada jirani karudi likizo ya Corona toka huko kazini kwake Mtwara (ni Mwl) anaanza tabia mbaya!

Jumatatu usiku aliniletea daku, sasa jana kaja amevaa mjumba wake na shungi swafi kanikuta naangalia movie ya Love story, amekaa mpaka saa 6 usiku, nilipotoka kuoga tu nikamkuta kapandisha gauni na chini hajafunga banda na kufuri.

Kapendelewa kifuani asee plus ile ki.uno ka ya Reisiii!

NB: Ckufanya nae uzinzi as sikuwa na antivirus, weekend eti katakuja na Rough riders



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chauongo ww, nakuonaga forum nyingi una- comment ill kuhusu islam.
Haya tuseme " baadhi ya waislam wanajifanya kufunga af wanatoa tunda kimasihara," hope ulitaka kusikia kejeli hizo
 
mwandiko wako unaonesha ww ni mkristo na una chuki za kidini...na unaechukia huyo mwanamke.....makosa n ya kwenu wote...ww ulitakiwa kumtoa nje kiistarabu au kumwambia akae vizuri labda hakujua ila kw tamaa zako ndio ukafanya hivyo.....yeye hata kama alifanya makusudi still makosa ni ya kwenu wote ila we ni zaidi sababu we ndio mwenye maamuzi ya mwisho hapo...
 
Ni kosa la shetani!!
Sasa usiniulize shetani ni nani😜
 
Wakubwa naona kuna mdada jirani karudi likizo ya Corona toka huko kazini kwake Mtwara (ni Mwl) anaanza tabia mbaya!

Jumatatu usiku aliniletea daku, sasa jana kaja amevaa mjumba wake na shungi swafi kanikuta naangalia movie ya Love story, amekaa mpaka saa 6 usiku, nilipotoka kuoga tu nikamkuta kapandisha gauni na chini hajafunga banda na kufuri.

Kapendelewa kifuani asee plus ile ki.uno ka ya Reisiii!

NB: Ckufanya nae uzinzi as sikuwa na antivirus, weekend eti katakuja na Rough riders



Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni tahia mbaya kulazikishana kufunga.
KUNA kiumbe ninakikula daku muda huu.... Kesho kiendelee na funga yake
 
Nmeangalia threads zako unatatizo la udin linakusumbua hali inayokufanya utengeneze uongo unao fanana na ukweli

Sent using Gun Trigger
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom