Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nisipotumia ujana wangu vizuri nitasimulia nini uzeeni? Hii ni kauli inayowakuta wengi vijana, na kuamini kinachoweza kufanyika katika ujana waweze kukifanya, kwa sababu ku-reverse umri ni kitu...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Inakuaje waoaji wengi wa Siku hizi Mara baada ya kufunga ndoa uongozi wa familia anamsukumia mwanamke? Katika utafiti wangu nimekuja na majibu yafuatayo:- 1. Vijana wengi hawajiamini kama...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
MAMBO 50 KUHUSU MKEO 1. Mkeo sio mkamilifu, msamehe. 2. Mkeo ndio uti wako wa mgongo, usiuvunje. 3. Mkeo ni tunu, mthamini. 4. Mkeo ni kito adimu, mtunze. 5. Mkeo ni rafiki yako bora, mfanye kuwa...
5 Reactions
101 Replies
9K Views
Kila Mwanamke utakayekutana naye tu ukimuuliza kapanga wapi atakumbia sehemu fulani lakini ni lazima atasema anaishi na Mwenzake. Kumetokea nini kwani mbona huko nyuma Wanawake wengi wa Dar...
6 Reactions
66 Replies
9K Views
Ni ukweli usiopingika kwamba miaka ya sasa mambo mengi sana yamebadikika kiteknolojia, kimaadili. Kiufupi ni katika kila kitu lkn kuna maendeleo ambayo huleta negative effects. Ila katika suala...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Ebu leo ngoja kidogo niweke mambo sawa. Hapa siku za karibuni pametokea vijana wengi wa kiume (humu jf) wakilalamika sana kuhusu wadada wa jf ama wanao kutana nao kwenye mitandao ya jamii. Na...
35 Reactions
550 Replies
30K Views
Kama mke wa mtu huyo ana miaka 18 au zaidi, na alitoa papuchi yake kiroho safi (kwa hiari) kwa jamaa mwingine (mgoni). Basi mgoni atakuwa hana hatia. Mtego pekee ambao mgoni hapaswi kuuingia ni...
9 Reactions
50 Replies
10K Views
Kiufupi tu. Ndugu zangu huwa mnafanyaje mnapojua kimada wa pembeni kapata mimba/kajifungua na mtoto ni wako? Sitaki kuona damu yangu hii inateseka wakati uwezo wa kuihudumia ninao, tatizo huwa...
9 Reactions
145 Replies
16K Views
😘😘😘 Usingizi wote umenipaa, niko zangu kitandani nikashika kilongalonga nimsemeshe Dadii kabla sijalala. Nikatuma ujumbe akajibu, akawa anaendelea ku-type nikamuuliza unafanya nini? Ile nimetuma...
5 Reactions
52 Replies
5K Views
Nakwambia wewe unayesoma uzi huu,ukirudiana na ulieachana naye utajuta mara kumi zaidi ya ulivyojuta kabla hamjaachana, kama huamini fanya uchunguzi kwa watu wako wa karibu walioachana na kurudiana.
10 Reactions
50 Replies
6K Views
Aisee mlioolewa tunzeni Sana waume zenu, nimehudhuria ibada kadhaa kuna wachungaji wanaitaga wadada ambao wanataka kuolewa, ule utitiri wa wadada sijapata kuona. Wadada wasupu unakuta wanaenda...
25 Reactions
150 Replies
17K Views
NEWS UPDATE: Mwanaharakati wa Haki za Wanawake hapa nchini Joyce Kiria the super woman pamoja na Juma Raibu diwani wa boma Mbuzi Manispaa Moshi wamsaidia mwanamke aliye daiwa kufumaniwa na mume wa...
5 Reactions
168 Replies
20K Views
Mahusiano ni safari ndefu. Safari hii ina kila aina ya raha na karaha. Ebu tupeane uzoefu hapa X- wako mlieachana zaidi ya miaka 4 akikupigia simu mkutane sehemu ana jambo mzungumze, Je...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za jioni. Kizuri kula na wenzio. Ukiguswa tafadhali elezea ulijifunzia wapi mambo ya Mahaba yaani utundu na ufundi wa 6*6. Acha kujua kuchomoa na kuchomeka laah hasha ujuzi na ufundi...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika maisha kuna mambo watu hupitia na kwaakili ya kawaida ukahisi ni stori tu. Binafsi haijawahi kunikuta lakini kuna watu imewatokea. Kama ilivyo kwa wanaume kutelekeza familia na kwenda kuoa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wanna JF. Wanaume siku zote ni watu wanaozungukwa na msongo wa mawazo katika mihangaiko ya kimaisha ha hapa na pale...... Baadhi ya vitu vinavotuletea msongo wa mawazo ni Kama; 1.kuachwa...
4 Reactions
4 Replies
3K Views
Imagine, I have been waiting for 5 Good Years to get married to my Baby Mama, Only to find Out she is getting married to another Man. I don’t complain but regretting to waste all those Years...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwakweli maisha yana siri kubwa sana, Kuna kipindi au wakati utajikuta huna mtu wa karibu anaye weza kusikiliza hisia zako wala kufanya jambo zuri na wewe, sio baba wala mama, sio ndugu wala...
17 Reactions
31 Replies
3K Views
Kwa nini Wanawake wakiafrika wanapenda kuzungushana sana. Hivi huwa hawawezi kuwa straight, yes or no?. Hiki napenda, hiki sipendi?. Aargh
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Bwana kuna huu ujinga wa hawa jamaa wanaochezaga na jeneza mabegani si mnawajua? Ebwana leo nimewaota laivu na kale kamziki kao walikowekewa halafu wananitazama huku wamenuna sana kama kawaida...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…