Changamotto
Senior Member
- Jan 12, 2018
- 191
- 101
Nakwambia wewe unayesoma uzi huu,ukirudiana na ulieachana naye utajuta mara kumi zaidi ya ulivyojuta kabla hamjaachana, kama huamini fanya uchunguzi kwa watu wako wa karibu walioachana na kurudiana.
Hakikainategemea na sababu za kuachana
Hii inategemea.Sio kweli mkuu, kuachana na kurudiana ni jambo la kawaida tu ni maelewano yenu tu.
Mie Nina jamaa zangu wengi tu wameachana na kurudiana na bila madhara kutokea
Utakuwa uzi mrefu sana kuna visa vingi mno,ndio maana nikakwambia fanya uchunguzi kwa watu wako wa karibu ambao waliachana na kurudiana.Toa walau kisa kimoja kitupe mwelekeo wa kuchangia.
Wengine huwa hawasemi kwa kuogopa aibu tu,ila wengi sana wanajuta ,kama mliachana kwa kosa la kuchepuka ujue mlipoachana alifanya ufuska zaidi ya alivyokuwa anafanya mlipokuwa pamoja,na hata mkirudiana kamwe hawezi kuwaacha .Sio kweli mkuu, kuachana na kurudiana ni jambo la kawaida tu ni maelewano yenu tu.
Mie Nina jamaa zangu wengi tu wameachana na kurudiana na bila madhara kutokea
Ipi ambayo unaona haiwezi kuleta majuto mtakaporudianainategemea na sababu za kuachana
Utasemehe sawa ila huo msamaha unaoombwa ni wa kitambo kidogo tu,baada ya hapo yale yaliyosababisha muachane yatakuja kwa kasi ya ajabu.Jamani polee, ndio mana kukawa na neno samahani, ninaomba unisamehe,, binafs kama kaniomba msamaha na umetoka moyoni nasamehe ila once ntasema enough ujue enough kweli na hapo ujue nishavumilia vya kutosha and am about to die
Tumeumbwa kusamehe na kusahau yaliyopita labda ninfumanie hapo sawa unavumilia tu mengine ya kibinadam uvumilivu ukifika kikono just leave kabla haijawa too lateUtasemehe sawa ila huo msamaha unaoombwa ni wa kitambo kidogo tu,baada ya hapo yale yaliyosababisha muachane yatakuja kwa kasi ya ajabu.
Mkiachana vipi labda?Acha hizo weyeee inategemea mliachana kivipi
Mkiachana vipi labda?
Unaweza kuta mmepeana likizo ya muda kwamba kila mmoja au mmojawawenu akarekebishe kasoro zilizojitokeza, ILA PUNGUZA HASIRA