Ex boyfriend/girlfriend wako akikutafuta

Mheshimiwa_Mtemi

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
288
215
Mahusiano ni safari ndefu. Safari hii ina kila aina ya raha na karaha.

Ebu tupeane uzoefu hapa

X- wako mlieachana zaidi ya miaka 4 akikupigia simu mkutane sehemu ana jambo mzungumze, Je utathubutu kwenda?
 
Back
Top Bottom