Nimezama kwa Mapenzi ya Dadii...

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
21,239
36,281
😘😘😘

Usingizi wote umenipaa, niko zangu kitandani nikashika kilongalonga nimsemeshe Dadii kabla sijalala.

Nikatuma ujumbe akajibu, akawa anaendelea ku-type nikamuuliza unafanya nini? Ile nimetuma na yeye ujumbe wake unaingia, Kasie unafanya nini?

Nikajikuta natabasamu, nikamwambia bhebhe tunawaza pamoja, akaniambia umenidukua nnachowaza nikacheka cheko la huba, hapohapo furaha ikanijaa nikajawa na Mahaba pomoni usingizi ukakimbia jii.

Nikamwambia hivii...
"Mpaka kesho sijui kwanini ila, sijawahi kujuta kukufahamu. Wewe ni mwanaume wa pekee, unanipa tabasamu, furaha, nikiongea na wewe, nikikutazama naburudika this is more than love Dadii I like you. I just can't stop loving you
You are my soul mate for real."

Mwisho wa kunukuu.



Dadii, I wanaa feel your touch..
I wanna have your kiss..
Baby I love you so much much and more, mmuuuaahhh!!!

Hili liDaDii langu ni litamu, kiasi nikimuwaza hata kama nikiwa na njaa inapotea saa hiyohiyo. Sijui amenilisha nini huyu baba bin Dadii. Ila toka ndani ya sakafu yangu ya moyo anacheza anavyotaka, funguo za valvu zote 4 anazo.

Kweli nimezama kwenye huba la Dadii, na huba hili halichachi wala halichuji.


Makopa tele kwako Dadii...🥰🥰🥰🥰🥰

Bi. Kasinde.
 
Huku ukiwaza kale ka story ka kulala sero na vitu kuoza kwenye buti hahahaha kasie
 
Huku ukiwaza kale ka story ka kulala sero na vitu kuoza kwenye buti hahahaha kasie

Sent using Jamii Forums mobile app

Aaahahahahaa una kumbukumbu looh

Sina hamu na yule afisa usalama alichonitendea looh.

Polish sitaki hata kupasikia, japo Ticha Jael (Mkufunzi) alinifanya kidoogoo imani na polish ikarudi.

Matata the K.
 
Usingizi wote umenipaa, niko zangu kitandani nikashika kilongalonga nimsemeshe Dadii kabla sijalala.

Nikatuma ujumbe akajibu, akawa anaendelea ku-type nikamuuliza unafanya nini? Ile nimetuma na yeye ujumbe wake unaingia, Kasie unafanya nini..!??

Nikajikuta natabasamu, nikamwambia bhebhe tunawaza pamoja, akaniambia umenidukua nnachowaza nikacheka cheko la huba, hapohapo furaha ikanijaa nikajawa na Mahaba pomoni usingizi ukakimbia jii.

Nikamwambia hivii...
"...Mpaka kesho sijui kwanini ila, sijawahi kujuta kukufahamu. Wewe ni mwanaume wa pekee, unanipa tabasamu, furaha, nikiongea na wewe, nikikutazama naburudika this is more than love Kasiba....I like you.

I just can't stop loving you...
You are my soul mate for real."

Mwisho wa kunukuu.

Hili liDaDii langu ni litamu, kiasi nikimuwaza Hata kama nikiwa na njaa inapotea saa hiyohiyo. Sijui amenilisha nini huyu baba bin Dadii. Ila tops ndani ya sakafu yangu ya moyo anacheza anavyotaka, funguo za valvu zote 4 anazo.

Kweli nimezama kwenye huba la Dadii, na huba hili halichachi wala halichuji.



Makopa tele kwako Dadii...🥰🥰🥰🥰🥰

Kasinde.

Mapenzi ya uzeeni ya raha
 
Heheee leta vituz tiririka madamu

Sent using Jamii Forums mobile app

Mahaba ya dhatii, yamenishukiaa

Kutoka kwa Dadiii, ninajiogeaaa raha za alfajiriiii

Oooooohhhh na za usiku mchaaanaaa
Oooooohhhh na za usiku mchaaanaaa

Nimenasa kwenye ulimbo wa Dadii katu siwezi kujing'atua

Njaa sina kila muda ni shibe

Nikiguna naongezewa upawa

Bi. Kasinde raha nazipata hata nashikwa na tetemeko la maungo

Basi yatosha kwa sasa.

Bi. Kasinde.
 
Kiasaliiii

Safari hii twende tukakate tiketi ya treni tushukie kigoma halafu tunarudi hadi Tabora kwetu.....

Njia nzima chakula itakuwa ni asali tuu aahahahaa.
Ahahahaaaaaaa

We mtamu mnooooo kiasali Kasie Kasinde
 
Mapenzi ya uzeeni ya raha

Umejuajeeee.....??

Yaaanii, mbilinga mbilinga zote za ujana zimeisha tumebaki tunalishana bakulutu tuu yaani swallowing cherries and gellys....

Yaani ni raha ndani ya rohoo, tabasamu naona limenifika kwenye masikio aahahahahahahaaa

Acha nifurahi bibi mie, kufa kunoga utamu mnooo.
 
Hahahaaaaa, toto la kinyamwezi una visaaaa...salamu kwa dadiii ako kiasali Kasie Kasinde matata K

Aahahahahaa visa vya Bi. Kasie havina udhia wala kadhia ni Mahabat tuu yasiyo na madhara kwenye maungo eehehehee

Salamu zimemfikia, nawe nifikishie zangu huko ulikooo.

Kibusu flani hivi cha uchokozi kikufikie halafu ukifumbua jicho wakonyezwa ahahahahaaa

Kwaheeriiii.;)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom