Natumai hamjambo wakuu.
Kwenu wadada, ukishajua mwanaume unamtaka akikutongoza usilete mambo ya sitaki nataka coz sie wengine hatujuagi kutongoza kwa kubembeleza.
Wiki ilopita nilimtongoza...
" Mfano nimekuta mume wangu anacheat na mwanamke mwingine ninayemfahamu, siwezi kumfuata yule mwanamke nikamtukana, nitaanza na mume wangu na kumuuliza kwa sauti ya upole " - Riziki...
Nawaza kuhusu Diamond kipindi akiwa huko kwa Mtogole anabeba maji ya kuuza enzi hizo hata hamjui mtu anayeitwa Zari. Zari enzi hizo ana ndoa yake na anakula maraha tu wakati Diamond ni kavulana...
Jamaa ana MKE wamezaa watoto wawili watatu. Yawezekana watoto bado wadogo au wamesha kua kua.
Then ghafla mke anafariki Dunia.
Maneno ya watu mitaani : Mume kamtoa mke wake kafara.
Hii NI...
Kufanya mapenzi mara nyingi inahusisha wapenzi haswa wanaopendana mfano mimi na mke wangu. Kufanya ngono mfano unapomnunua malaya pale mnafanya ngono ye yupo kipesa zaidi ndo mana hajali kurizishwa
Kuna dada mmoja nilimtoa out juzi, tukaenda kula na kunywa usiku mahali flani hivi, kwakua tulikua tumelewa kiasi na tumechoka tukaona tujipumzishe hukohuko.
Sasa siunajua tena, mwanamke na...
Salamu sana.
Ama baada ya salamu mimi ni mzima na bila shaka nanyi mtakuwa wazima wa afya;-
Kuna muda tunakaa na kujitathmini kuwa sisi ni nani na tunatakiwa kufanya nini hasa katika jamii zetu...
Nina miaka 27, muislam, elimu yangu ni kidato cha sita, nimeajiriwa, ninaemuhitaji kwanza awe na hali kama yangu, umri usizidi miaka 35, awe muislam anayejiheshimu na aliye serious kwa ajili ya...
Hii fani waachieni wadada tena wa uswahilini.
Nimempa mwana habari zangu za kasumba, usiku akaenda kumhadithia mke wake, mke wake akazitawanya kwa mashoga zake. Sasa ziko wazi.
Leo nimemchana...
Ni hivi jamani, kuna binti mmoja mdogo sana amemaliza elimu ya form IV mwaka 2017, niseme tu huyu binti ni mzuri sana, ana shape moja matata sana ambayo mwanaume yoyote rijali lazima uweweseke...
Ni mrembo hakika, kwa sura na umbo ameumbika. Tatizo hataki kuoga, linapokuja swala la kuoga ni ugomvi mkubwa.
Yeye huwana uso, husugua makwapa, na kuiosha Tukuyu, baada ya hapo ndio Hadi kesho...
Hivi nyie wa kina Dada wa mujini kwanini mkiitilafiana na mpenzi wako kwenye masuala ya pesa unaona njia rahisi ni kutunyima" K"? Kwani hizo pesa tunazo wapa ndio mnazo tuuzia nazo hizo na niliii...
Mimi nimeolewa nina karibia miaka miwli, sasa mume wangu hataki watoto. Nimebeba mimba tatu na zote amesema hataki na ikabidi nitoe kwa sababu ya upendo na upuuzi wangu.
Sababu anazotoa ni kwamba...
Hi, everyone outchea.
This evening for my Tanzanian JF partners, I just wana share with you all this aspect of life in relation to women being objectified.
Women actually want to be objectified...
Good morning my people.
Awali ya yote nimekuja na Id mpya kuficha usalama wangu, ila me ni mwenyeji humu JF muda tu
Wanasema mficha ugonjwa kifo humuumbua
Nahitaji mwanaume wa kupeana kampani tu...
Hivi kwanini mnajidhalilisha?
Iko hivi, kuna mkaka mmoja alinitoa..anaonekana dume six pack ila hamna kitu kwenye gemu.
Eti dakika 5 kashamaliza anahema ka mjusi hata hajielewi, akazima kabisa...
Mabro zangu habarin za jion pamoja na masister zangu. Naomba tishuke nayo mdogomdogo
Wadau sikuchache zilizopita nilikua katika harakati za kupika baada ya kutoka chuoni simnajua tena maisha ya...
Iliwai kunitokea kuna mrembo nilikuwa nae kwenye mahusiano takribani miezi 6,katika mda huo wote hatukuwai kufanya chochote zaidi ya mawasiliano.
Siku moja ghafla nipo zangu nimetulia ananipa...
Mshkaji wangu juzi alikua maeneo flani hivi,akamumba mtoto mzuri hatari akafanya mishe akampatia business card yake. Baada ya kama lisaa kupita yule mrembo kamcheki na kuambia hiyo ndo namba yake...
Story ipo hivi huyo dada nilikutana naye pande flani hivi maeneo ya Sokoni ilikuwa Jumapili jioni, nikamwomba namba akanitoa kiroho safi. Mahusiano yetu yakaanza tumekaa kama miezi mitatu kama...