Kwanini wa Dada wa mujini mpo hivi?

jjs2017

Member
May 25, 2019
88
125
Hivi nyie wa kina Dada wa mujini kwanini mkiitilafiana na mpenzi wako kwenye masuala ya pesa unaona njia rahisi ni kutunyima" K"? Kwani hizo pesa tunazo wapa ndio mnazo tuuzia nazo hizo na niliii zenu?
 
mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
9,683
2,000
Hivi nyie wa kina Dada wa mujini kwanini mkiitilafiana na mpenzi wako kwenye masuala ya pesa unaona njia rahisi ni kutunyima" K"? Kwani hizo pesa tunazo wapa ndio mnazo tuuzia nazo hizo na niliii zenu?
Mjini papuchi for sell kijana....wengi wao wanafanya umalaya wakisasa
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,237
2,000
Hivi nyie wa kina Dada wa mujini kwanini mkiitilafiana na mpenzi wako kwenye masuala ya pesa unaona njia rahisi ni kutunyima" K"? Kwani hizo pesa tunazo wapa ndio mnazo tuuzia nazo hizo na niliii zenu?
Pole sana
 
yna2

JF-Expert Member
Aug 18, 2018
16,452
2,000
Umeandika Kama wakimbizwa.
Wadada wa mjini njooni mjibu ..wa kijijini Uzi hautuhusu.
 
Sibonike

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
16,477
2,000
Hivi nyie wa kina Dada wa mujini kwanini mkiitilafiana na mpenzi wako kwenye masuala ya pesa unaona njia rahisi ni kutunyima" K"? Kwani hizo pesa tunazo wapa ndio mnazo tuuzia nazo hizo na niliii zenu?
Tambua toka mwanzo hiyo bidhaa ipo sokoni. Akikunyima maana yake ni muuzaji. Watauziwa wengine.
Nawe ukiwa nazo kanunua sehemu nyingine.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom