Ungekuwa wewe ungehisi nini hapa?

Ungekuwa wewe ungehisi nini hapa?

frenderPH

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2019
Posts
622
Reaction score
822
Mabro zangu habarin za jion pamoja na masister zangu. Naomba tishuke nayo mdogomdogo

Wadau sikuchache zilizopita nilikua katika harakati za kupika baada ya kutoka chuoni simnajua tena maisha ya kiGetho kwa wale wanachuo... basi katika kuosha vyombo na kuanza kupepeta mchele mara ghafla nikaona Jeje (manzi ) mkali ambae hata akisimama na rihanna anamzidi uzuri japo kua nilimuona katika chumba jirani hapa nilipo panga..

Basi kama kawaida yetu wanaume nikapiga hatua mbili tatu nikaongee nae labda nitapata chochote kitu siunajua tena maswala ya Contact n.k Basi manzi akawa yuko kind na charming kwa aina yake ambavyo kila mwanaume akipata ukaribisho wa kias hiko lazima ukirud geto ujiangalie kwenye kioo [emoji23][emoji23][emoji23] wats going on with your face

Basi nikamwambia mama lao nitakucheki baadae baada ya mie kumalizia kazi zangu n.k. baadae nilienda ilikua kama saa3 usiku nikaongea nae kidogo na nikamuomba namba na mtoto akawa tayari akanipa no zake nikasema basi hapa nishaua [emoji57] lakini cha ajabu nilichotegemea kikawa opposite kabisa maana nilikaa siku nzima bila kumtext sasa nilipomtext hakujibu nikafululiza text nyingi kiasi kwamba kama ni binadam wa kawaida lazima ujibunlakin hakunijibu Daaah.... basi nikaona fresh nikasubir kesho yake nikampigia akasema hakuwa na message.. basi kwa kuwa me kidume na ndo nnatry kuget interest na huyi mrembo nikasema nakukuta hapo home lakini sikumwambia kama nampelekea voucher aunge sms maana kama unavojua ladies wanakua interested sana na men wanapojua vitu baadh kutoka kwa huyo men..

Lakin kwangu haikua ivo. Basi nilipofika nikampigia simu akapokea lakin tulivozid kuongea akasema kwanza hapendi kuchart na sio mtu wa kuongea hiiivo ko ni better niachane na kumpigia afu then akaja na point ya kishindo kwamba "kaka me sikai hapo.

Mimi nakaa mtaa mwengine kabisa so hata tukifahamiana haitakua na maana yoyote afu istoshe sipo huko unakofikiria" Khaaa nikabaki mdomo wazi sasa nikijiuliza mpaka ananipa namba yake na anasema tutawasiliana Afu baadae anatengua kauli nikaona nishakua Rejected afu pili nikagundua katika kufahamiana nae hakua muaminifu maana aliniaminisha kwamba anakaa pale kwa maana ni jiran yangu lakini haikua ivo tena

Basi mpaka hapo me nikaona huyu manzi maybe alikua anataka labd anitege aone responce yangu katika pesa maana hata Tsup yake hakua online tokea dei one nachukua namba na ni mwanachuo hauezi kusema kakosa bundle na vitu vya muhimu vinatumwa kwa emailz n.k

Upande wangu naona ntakua nna Overthink sana kuhusu huyu manzi maana nishamuona kama ni Gold digger alikua anasubir nimpe bundle awe active ndo nae aone kama niko na njaa nae afu pengine naona ni muongo

Kwan wazee hapo nntakua na mhisi vibaya au Rejection inanichanganya coz sijawah kuwa rejected Before
 
Ndugu usikute we ukijiangalia kwenye kioo unajiona handsome handsome hivi sasa hiyo ni kwamujibu wa jicho lako!..
Yeye sasa usikute anakuona mamba fulani hivi amaizing..!
Haya mambo ndugu achana nayo mkuu mi mwenyewe najionaga gentleman lenye u handsome ndani yake lkn wapii kumbe dagaa fulani hivi..😂

Mwambie akuambie ukweli..
 
Hii ni stage tu bro kisema tuwe wapole mambo hayaendi [emoji23]
Kuwa mzazi inahitaji moyo sana,yaani sisi wazazi tunapata taabu sana kutafuta ada za vijana wetu kumbe huko chuo wako busy kusaka papuchi!
 
Daah kumbe dagaa tuko wengi [emoji23][emoji23] tutaanzisha Team ya mpira
Ndugu usikute we ukijiangalia kwenye kioo unajiona handsome handsome hivi sasa hiyo ni kwamujibu wa jicho lako!..
Yeye sasa usikute anakuona mamba fulani hivi amaizing..!
Haya mambo ndugu achana nayo mkuu mi mwenyewe najionaga gentleman lenye u handsome ndani yake lkn wapii kumbe dagaa fulani hivi..[emoji23]

Mwambie akuambie ukweli..
 
Umejaribu kua mjanja? Sasa hivi unachofanya ni ujinga
 
Daah kumbe dagaa tuko wengi [emoji23][emoji23] tutaanzisha Team ya mpira
Ndugu usikute we ukijiangalia kwenye kioo unajiona handsome handsome hivi sasa hiyo ni kwamujibu wa jicho lako!..
Yeye sasa usikute anakuona mamba fulani hivi amaizing..!
Haya mambo ndugu achana nayo mkuu mi mwenyewe najionaga gentleman lenye u handsome ndani yake lkn wapii kumbe dagaa fulani hivi..[emoji23]

Mwambie akuambie ukweli..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom