Applicant
JF-Expert Member
- Feb 12, 2020
- 1,962
- 1,757
Kuna dada mmoja nilimtoa out juzi, tukaenda kula na kunywa usiku mahali flani hivi, kwakua tulikua tumelewa kiasi na tumechoka tukaona tujipumzishe hukohuko.
Sasa siunajua tena, mwanamke na mwanaume wakilala PAMOJA, lazima kupiga mapanga shaaa. Nilimpiga mapanga shaaaa usiku huo isivyo kawaida, asubuhi tuliamka na uchovu Sana, tukaoga tukapata breakfast kila mtu akaenda kwake.
Sasa yule mwanamke sijui vipi bana, kaenda kuwahadithia wenzake kwamba eti mimi niko njema sana kitandani. Sasa imekua ni usumbufu kwa marafiki zake wawili nao wanataka.
Inakuaje unaenda kumuhadithia rafiki yako mambo kama hayo? Sasa si lawama hizi.