Mume HIV+ anahitajika

loldiva

Senior Member
Mar 1, 2017
165
161
Nina miaka 27, muislam, elimu yangu ni kidato cha sita, nimeajiriwa, ninaemuhitaji kwanza awe na hali kama yangu, umri usizidi miaka 35, awe muislam anayejiheshimu na aliye serious kwa ajili ya ndoa.

NB: Kigezo cha dini jamani ni muhimu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom