Hakika kama umeshiriki tendo la Ngono na mwanamke au mwanaume tambua huyo hutaachana nae milele ilo ni agano la milele hadi kufa hivyo tunzeni viungo vyenu vya siri
Wakuu natumaini mko poa mimi ni kijana nina umri miaka 25 natafuta mwanamke aliye serius awe mchumba na baadaye mungu akijalia ndoa
Mimi nimejiajiri, mrefu wastani, mweusi na ninajitegemea naishi...
Usipokuwa makini unaweza kuhisi unapendwa kutoka moyoni, kumbe kinachopendwa hapo ni uwezo wako wa kugharamia mahitaji (pesa) kwa sasa. Unaweza kupewa sifa zote, kumbe zote ni kalaghabao ngoja...
Mfano unaishi mji A ambao ndiko makazi yako na ndiko unapoendeshea shughuli zako za kila siku, kiasi kwamba watu wako unaoshirikiana nao kila siku wanapatikana Mji huo.
Pia, una makazi yako Mji B...
Habarini za mchana
Nahitaji msaada namna ya kutatua hili tatizo, nina boyfriend wangu, tuko kwenye mahusiano mwaka mmoja sasa.. Alikua ameajiriwa ila kuna matatizo yalitokea kazini kwao miezi...
Katika mapenzi Kuna wakati mnakuwa mnategeana kuanzisha salaam. Hii sijajua sababu yake lkn hii inatokea mara nyingi sana tuliyo kwenye mahusiano tunaelewa vizuri sana. Sasa katika utafiti...
Habari ndugu zangu
Naombeni msaada wa kutambua kuhusiana na hoja tajwa hapo juu. Generation ya leo tunashuhudia vijana, na hata rika za kati kwa madai ya kuwahi kumaliza tendo la ndoa na wengi...
Kuchepuka kwa mwanaume ni kitu kisichozuilika, ila nawasii ndugu zangu tuchepuke lakini tuhakikishe wake zetu na watoto wako, wako kwenye mazingira mazuri. Mfano, mfanyie yafuatayo mkeo:-
Mpe...
Habari Jamvini, kabla sijajitumbikiza naomba kujua walio na ielewa au experience ya maisha jinsi inavokua kuolewa na mtu mwenye sifa hizi
1. Mchoyo , yani kipindi cha uchumba hajawai kukupa kitu...
9 THINGS WOMEN HATE TO SEE THEIR MEN DO IN MARRIAGE
the understanding of women and men in relationships or marriage are not the same that is why there's always conflict in understanding
1...
Ni kawaida kuwa unapokuwa kwenye mapenzi ina maana ni kuwa pamoja lakini kwa namana moja au nyingine huwa tunaishia kuwa mbali-mbali kutokanana shughuli zetu kama vile masomo, kazi na wakati...
Baadhi ya wanaume hasa vijana wanapovunja mahusiano na wasichana/wapenzi wao huanza kuwatolea siri za ndani hasa maungoni na kuzitangaza hazarani kwa kudhani kuwa wakifanya hivyo watakuwa...
Ndoa nyingi za Kiafrika huambatana na mahari, ambapo mwanaume hupangiwa vitu vya kuwapelekea wazazi wa mwanamke ikiwa kama asante au shukrani ya kumlea binti vyema.
Mahari inatofautiana lati ya...
Wakuu habari za weekend!
Moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa nikisotea mke wa kuoa muda mrefu sana hata humu nilishawahi kutafuta japo sikupata nimekuja kumpata mtaani kwangu.
Huyu binti...
1. Anapokutukana : hasa hasa hadharani au chumbani
mkanye mara kadhaa kwa kumsihi ya kwamba hupendezwi na tabia yake hiyo, akiendelea zaidi ya mara tano, muache
2. Akikutukania wazee wako: fanya...
Leo nimekaa nimefikiria sana kuhusu ndoa
sikupata majibu. Yaani ukifikiria sana unaweza usione maana sana ya kuolewa.
Nakumbuka kuna kipindi dada angu mkubwa aliniambia mdogo wangu ndoa ni utumwa...
Mke wangu kanichosha, natafuta demu wa kiarabu umri 25-35 asiwe mnene sana. Awe mchamungu kiasi na asiwe mlevi sana. Mi ni mkristo ila nikimpata nitakayemwelewa, dini namrudishia malikia...
Wanawake ni watu wakuwaangalia kwa jicho la nyuma. Mimi nimeolewa nanina mume wangu tuko pamoja huu ni mwaka wapili tunakaribia .
Sisi tunafamily friends wetu kama nyumba 3 wote ni watu...
Hanari wanaJF,
Ilikuwa mwaka 2013 , mdogo wangu alikuwa kidato cha kwanza, siku moja alirudi nyumbani kutoka shule alipo maliza kubadili nguo za shule na kuvaa nguo za nyumbani akaniuliza "kupiga...