Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wa juu Je, zipi ni tofauti za mwanaume na wavulana kwa kuangalia umri,uchumi na elimu? Je, mvulana afanyaje ili awe mwanaume? Asanteni
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari njema hii, nimefunuliwa! Kwa mujibu wa simulizi za hapo zamani za kale, utasikia mtu anapata mtoto wa kwanza akiwa na umri miaka 70 na anaishi kwa miaka mingine mingi. Mtu kama huyu...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi (Covid-19 ni hatari tujitahidi kufuata masharti yanayotolewa na wizara ya afya) Sio mara ya kwanza ila ni kawaida yangu kuhusu yafuatayo, sasa sijui kwa wengine ikoje labda mnipe...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Wanajamvi habarini za muda huu, natumai mko poa. Kuna kauli moja common sana Bongo sasaivi, wanawake wa mjini wanasema "Pesa ni nguvu za kiume" offcourse ni kauli flani ivi ambayo ina kera ila...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Katika mahusiano inapotokea mtu kaumizwa moyo huwa kuna mawili, aidha umejitakia /mtu kajitakia au kujisababishia /kusababishiwa. Mikosi ya mahusiano siku za baadae hutokana na kisababishia mtu...
12 Reactions
20 Replies
4K Views
Mimi Kijana nina miaka 21 Ni gym trainer nilikuwa natafuta marafiki WANAOPENDA fittness kwa ujumla tupeane michongo na ma deal kadhaaa na kubadilishana mawazo KWA JINSIA ZOTE Location Dar es...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Bado Moyo wangu umefungwa pingu za huzuni...Nimeshindwa kuivunja milango ya Gereza la simanzi..Ili nitoke nakwenda kuitazama dunia iliyomea maua ya Furaha.. Sikitiko limeshindwa kutoweka ndani ya...
6 Reactions
52 Replies
6K Views
Kila mtu anaweza kutafsiri neno maisha vile aonavyo,lkn kwangu binafsi ninayo tafsiri moja tu ambayo naona inakidhi hili neno maisha, nayo maisha ni uhai. Hakuna uhai hakuna maisha!.. Life is...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu nilikuwa nauliza je ni kweli kuna wanaume vibamia? Je wapo wengi kama inavyosemwa? Binafsi naweza kusema hakuna mwanaume kibamia... Nakumbuka nilivokuwa mdogo niliwahi kumuona mdada...
3 Reactions
30 Replies
48K Views
Ndugu zangu wana JF ule Msemo wa dalili za mvua ni mawingu sasa umetimia maana dalili zote za kuachwa na kukimbiwa na mpenzi wangu zimetimia. Hapa nilipo moyo wangu unaenda fasta moyo umejawa na...
10 Reactions
90 Replies
9K Views
Naandika huu uzi nikiwa sina maelewano na mama watoto wangu. Hii ni baada ya jana usiku nikiwa nimelala , alichukua simu yangu na kuanza kupekua kila sehemu. Kawaida mke wangu hua anapenda saaana...
2 Reactions
48 Replies
5K Views
Ni DM kama upo serious tu tafadhali. Lengo ni mahusiano yatayopelekea ndoa, kwa hiyo nahitaji mtu aliye na uhitaji Mm ni jinsia ME, Umri wangu miaka 30, Mrefu sio sana mwembamba. Elimu yangu ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Miaka mitatu iliyopita, Mdogo wangu alimpachika mimba binti mmoja hivi. Baada ya ile mimba kuingia, waliingia katika mgogoro Mkubwa Sana. Mgogoro wenyewe ulihusu kutokubaliana juu ya kuitoa au...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Salamu wakuu. NIWAAMBIE UKWELI MCHUNGU DADA ZANGU.Asilimia kubwa ya sisi wanaume,hatuwezi kuwa na mke mmoja(mchepuko Sana) na kwa kufanya hivyo haimaanishi eti hatuwapendi ,la hasha,heshima kwa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wanaume na wanawake, let's say umetongoza au unampenda mtu yeye akakujibu 'You are not my type' au ukasikia anamwambia mtu kuwa you are not his/her type utalipokea vipi? Mimi ninavyojua mtu...
58 Reactions
485 Replies
29K Views
Salam wanajukwaa, Mimi sio mgeni sana wala mwenyeji sana hapa jukwaani ila napiga hatua mbele ili kuweka kusudi langu mbele yenu. Awali ya yote naamini kila jambo na wakati wake, kusudi na...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Kuna nadhari nyingi kuwa wanawake wanapenda pesa, yeah ni kweli kwa sababu hata caring ambazo utataka kumpa mpenzi wako ni pesa, maua ni pesa, dinner ni pesa, gifts ni pesa sijui lodge ni pesa...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari za asubuhi, wanajamiiforums. Niko hapa kuomba msaada kwa haya yanayonisibu. Mimi ni kijana wa umri wa miaka30 kamili. Ni mwajiriwa serikalini. Niko hapa kuwataka msaada wa kimawazo kwa...
23 Reactions
165 Replies
13K Views
Mwanadada una-date na mume wa mtu ukitegemea akuoe, hiyo haipo kabisa. Kama umeangukia kwenye hayo mahusiano, jua kinachowaunganisha ni kulana kimasihara tu. Ni vigumu kwa mwanaume mwelewa...
12 Reactions
104 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…