Zipi tofauti za mvulana na mwanaume?

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,335
Habari zenu wa juu

Je, zipi ni tofauti za mwanaume na wavulana kwa kuangalia umri,uchumi na elimu? Je, mvulana afanyaje ili awe mwanaume?

Asanteni
 
Mvulana hana la kufanya ili awe mwanaume zaidi ya kusubiri wakati ufike.
tofauti ya mvulana na mwanaume ni umri/rika tu.
 
Komborela idumu milele katika ubora wake, watoto wa karne hii ya 21 watazeeka mapema sana kwa kucheza gemu za mipira, magari za kwenye kompyuta bila kutokwa jasho wala kuwa wabunifu kiakili.
 
mvulana ni me ambae anautoto mwingi na bado ni tegemez kwa wazazi/ndg/jamaa hata kama ana miaka 40 bt mwanaume ni me anaejitegemea kimaisha na kimajukum
 
94675F7A-C8C2-43A3-84BD-740F157BE0DB.jpeg
 
Nim

Nimekuelewa sana but ni kama umeelezea mwanaume kwenye phase ya uhusiano tuu
Vipi tofauti ya kiuchumi?
Vipi tofauti ya kiumri na kimawazo?

Nyongeza
Je ni uhusiano UPI utadumu kati ya pea hizi
1.Mwanaume + mwanamke
2.Mwanaume +msichana
3.Mvulana + mwanamke
4.mvulana + msichana
1
 
Back
Top Bottom