Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,357
Kuna nadhari nyingi kuwa wanawake wanapenda pesa, yeah ni kweli kwa sababu hata caring ambazo utataka kumpa mpenzi wako ni pesa, maua ni pesa, dinner ni pesa, gifts ni pesa sijui lodge ni pesa nauli unayo mpa ni pesa.
But huko kote unakuwa unanua ngono, mapenzii yanakuja baadaye baada ya kununua ngono sana, ndio mwanamke anaanza ku generate love kwako, mwanamke ni kiumbe kinachoongozwa na hisia ili uweze kuteka hisia zake ni lazima utumie kwanza ushawishi mbali mbali ambako kote huko ni pesa.
Enyi vijana wenzangu tuendele kutafuta pesa ili tununue kwanza ngono kutengeneza mapenzi na hisia kwa wapenzi wetu,la sihivyo utabaki kusema wanawake wanapenda pesa kumbe hujawajulia bado.
N:B Angalizo hapa siwaongelei wadangaji na ma sley queen naongelea wanawake wanaojielewa(wife material)