Wanaume na wanawake mje mnisaidie

Pole sana mdogo wangu kwa hyo changamoto unayopitia.
Nimependa ulivyofanya uamuzi wa kutunza mimba hata baada ya kukataliwa, ni uamuzi mzuri na wa busara sana kuliko ungefanya vinginevyo. Hongera kwa hilo
Kuhusu baba mtoto usihangaike nae kama ameamua kukupotezea, pambana uwezavyo ili mtoto wako apate mahitaji muhimu Mungu atakusaidia hilo.
 
Achana na hizo feelings dada yangu. Tafuta mtu sahii kwako tena mwenye nia ya kukuoa uolewe coz u have to move on. Na maisha lazima yaendelee.
Ila sasa Usikubali kuzaa na mwanaume mwingine ajaye kabla ya ndoa. Mai friend utakua kiwanda cha kuzalisha watoto tuu afu unakimbiwa
 
mkuu hebu acha kujilisha upepo kwa mtu asiekuhitaji, wachunguze vizuri katika hao wanaokuhitaji kisha atakaekufaa pita nae bt jichunge kuzaa tena kabla ya ndoa.
 
Kuwa na mtu anaekufaa, uliyeridhika nae, aliyekubaliana na hali yako uliyonayo, chamsingi usizae Tena kabla ya ndoa..maisha yanasonga na utasahau yote.
 
Mdogo wangu kinachokusibu ni upendo wa kweli kwa familia yako yaani mumeo hyo na mtoto wenu ,lakini nikushauri jambo mtafute hyo jamaa mweleze hisia zako kwake na malengo yako ya kuwa pa 1 akikataa fumba macho move on na kuhusu kuchanganya watoto siyo jambo zuri kabisa lakini ndyo ishatokea huwezi kuifuta na maisha lazima yaendelee
 
Back
Top Bottom