Msaada: Ninaweza kupambana na changamoto ya kuachwa ili kuepuka stress na heart break

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Ndugu zangu wana JF ule Msemo wa dalili za mvua ni mawingu sasa umetimia maana dalili zote za kuachwa na kukimbiwa na mpenzi wangu zimetimia.

Hapa nilipo moyo wangu unaenda fasta moyo umejawa na hofu nikimuona au akinipigia simu naanza kutetemeka na hii yote imetoka na Kauli yake ya anataka kuniacha sababu ya maisha lakini pia sipo vizuri kimaisha na mambo mengine ameyazungumza kuhusu mimi.

Hivyo wana JF naombeni Msaada ni jinsi gani ninaweza kuvuka kipindi hiki kigumu nisipitie stress na maumivu makali.
 
Hahahhahahahah

Msela wa Masenze analiaaaaaa

Demu anamkeraaaaaaaaaa anamuuuuuuuudhi.

Baba yangu aliwah nambia hii kauli

"Siku nilipoacha kuwafukuzia wanawake, nikaanza kufukuzia Thaman yangu, Mama yako alianza kunifukuzia".

Saizi nmekua Mkubwa, Mkulima, Daktari, Mjasiriamali Wananifukuzia hao ( sijisifii ila ndio ivo,, Asili inafanya kazi.)

HATA IVO NIKUPE MOYO, KTK SUALA ZIMA LA HISIA ZA MAPENZI YA KWELI, MALI SIO KITU SANA.

IVO ITOSHE KUKUAMBIA MWACHEE AENDE, CHUKULIA KAMA NAWEWE ULIMTONGOZA BAHATI MBAYA.
 
jiaminishe hana upendo wa kweli ndo maana kakutosa then restore ur mind kumtoa ndani yake then mtafute mwingine wa kukeep nafasi yake.
 
Ndugu zangu wana Jf ule Msemo wa dalili za mvua ni mawingu sasa umetimia maana dalili zote za kuachwa na kukimbiwa na mpenzi wangu zimetimia.

Hapa nilipo moyo wangu unaenda fasta moyo umejawa na hofu nikimuona au akinipigia simu naanza kutetemeka na hii yote imetoka na Kauli yake ya anataka kuniacha sababu ya maisha lakini pia sipo vizuri kimaisha na mambo mengine ameyazungumza kuhusu mimi.

Hivyo wana Jf naombeni Msaada ni jinsi gani ninaweza kuvuka kipindi hiki kigumu nisipitie stress na maumivu makali.
Jiandae tu kuumwa kichwa,kizunguzungu,kukosa usingizi,kichefuchefu,kukosa hamu ya kula,kuota ndoto za kutisha,kuongea peke yako na kuweweseka.SUCH IS LIFE ila kuna siku yako itafika atakukumbuka.SHIDA HAINA ADABU
 
Breaking up inaumiza sana, especially ikiwa ni yule mtu unayempenda kweli anataka kuondoka. Ila una bahati sana amekuambia ukweli

Be strong, you will get through this. Cut off all contact with her and focus on yourself.
Ni sawa kuhusi maumivu , you need to suffer before you heal. That's how it supposed to be.

I am sorry you are in such pain.
 
Naomba nije inbox kuna kitu naomba utanishauri dada Paula
 
Namna bora ya kuondokana naye kumbuka mabaya yoote aliyokutenda...halafu sema moyoni ""NENDA MWAJUMA SIKUTAKI""""

Mkuu usiteseke hawa viumbe wanatesa sana hasa ukiyumba...wapo warembo wengi wewe tafuta pesa pesa pesa pesa
Ndugu zangu wana Jf ule Msemo wa dalili za mvua ni mawingu sasa umetimia maana dalili zote za kuachwa na kukimbiwa na mpenzi wangu zimetimia.

Hapa nilipo moyo wangu unaenda fasta moyo umejawa na hofu nikimuona au akinipigia simu naanza kutetemeka na hii yote imetoka na Kauli yake ya anataka kuniacha sababu ya maisha lakini pia sipo vizuri kimaisha na mambo mengine ameyazungumza kuhusu mimi.

Hivyo wana Jf naombeni Msaada ni jinsi gani ninaweza kuvuka kipindi hiki kigumu nisipitie stress na maumivu makali.
 
Hahahhahahahah

Msela wa Masenze analiaaaaaa

Demu anamkeraaaaaaaaaa anamuuuuuuuudhi.

Baba yangu aliwah nambia hii kauli

"Siku nilipoacha kuwafukuzia wanawake, nikaanza kufukuzia Thaman yangu, Mama yako alianza kunifukuzia".

Saizi nmekua Mkubwa, Mkulima, Daktari, Mjasiriamali Wananifukuzia hao ( sijisifii ila ndio ivo,, Asili inafanya kazi.)

HATA IVO NIKUPE MOYO, KTK SUALA ZIMA LA HISIA ZA MAPENZI YA KWELI, MALI SIO KITU SANA.

IVO ITOSHE KUKUAMBIA MWACHEE AENDE, CHUKULIA KAMA NAWEWE ULIMTONGOZA BAHATI MBAYA.
Pumbavu zako umeongea point sana
 
Breaking up inaumiza sana, especially ikiwa ni yule mtu unayempenda kweli anataka kuondoka. Ila una bahati sana amekuambia ukweli

Be strong, you will get through this. Cut off all contact with her and focus on yourself.
Ni sawa kuhusi maumivu , you need to suffer before you heal. That's how it supposed to be.

I am sorry you are in such pain.
Waifu matirio, sijui kwanini huwa nakuelewa
 
Ndugu zangu wana Jf ule Msemo wa dalili za mvua ni mawingu sasa umetimia maana dalili zote za kuachwa na kukimbiwa na mpenzi wangu zimetimia.

Hapa nilipo moyo wangu unaenda fasta moyo umejawa na hofu nikimuona au akinipigia simu naanza kutetemeka na hii yote imetoka na Kauli yake ya anataka kuniacha sababu ya maisha lakini pia sipo vizuri kimaisha na mambo mengine ameyazungumza kuhusu mimi.

Hivyo wana Jf naombeni Msaada ni jinsi gani ninaweza kuvuka kipindi hiki kigumu nisipitie stress na maumivu makali.
Usibembebeleze ukae na mtu hadi ahisi anakufanyia hisani. mwache asepe zake tu
 
Umrandika nyuzi nyingi sana hii inaashiria uko hatarini kufanya maamuzi mabaya.
Tafadhali kaa chini na ufijiri haya;
1. Yeye ndiye mrembo peke yake?
2. Kwani akifa hutaishi au kuoa tena?
3. Je msingeonana usingependa mwingine?
4. Kama anakupenda why asikuvumilie?
5. Kama hakutaki wamtakia nini?

Fungua macho yupo atakayekupenda kufa na kupona
Ndugu zangu wana Jf ule Msemo wa dalili za mvua ni mawingu sasa umetimia maana dalili zote za kuachwa na kukimbiwa na mpenzi wangu zimetimia.

Hapa nilipo moyo wangu unaenda fasta moyo umejawa na hofu nikimuona au akinipigia simu naanza kutetemeka na hii yote imetoka na Kauli yake ya anataka kuniacha sababu ya maisha lakini pia sipo vizuri kimaisha na mambo mengine ameyazungumza kuhusu mimi.

Hivyo wana Jf naombeni Msaada ni jinsi gani ninaweza kuvuka kipindi hiki kigumu nisipitie stress na maumivu makali.
 
Ni kipindi kigumu sana, hili lazima tulikubali especially ikiwa mtu ulimpenda kwa dhati. Rudi kwenye interests/priorities zako za maisha, deal nazo kwa sasa! Kama unapenda kusafiri iwe ni ndani au nje ya nchi basi , basi Fanya hivyo! Kama ni mpenzi wa kuimba basi imba tu, kwa kifupi Tafuta kitu cha kukufanya uwe bize na usidhani kuwa itakua rahisi but at least itakupunguzia maumivu kwenye kipindi hiki cha mpito.

Mshukuru Mungu sana kwa kuachwa kungali mapema! Kila kitu kinatokea kwa sababu Fulani, you are being redirected to the right person! Usiumie sana

Kuna siku atarudi kwa magoti na machozi na hata asiporudi wala usiumie.

Mwisho, ili usiumie sana mfanye awe Rafiki na sio adui....
 
Breaking up inaumiza sana, especially ikiwa ni yule mtu unayempenda kweli anataka kuondoka. Ila una bahati sana amekuambia ukweli

Be strong, you will get through this. Cut off all contact with her and focus on yourself.
Ni sawa kuhusi maumivu , you need to suffer before you heal. That's how it supposed to be.

I am sorry you are in such pain.
Huwa najikuta na like comments zako kabla hata nisome sababu najua you won't disappoint me na ndivyo huwa unafanya, hii busara iambatane nawe daima Paula.!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom