Pesa ni nguvu za kiume

The king mswati

JF-Expert Member
Jun 20, 2020
787
820
Wanajamvi habarini za muda huu, natumai mko poa.

Kuna kauli moja common sana Bongo sasaivi, wanawake wa mjini wanasema "Pesa ni nguvu za kiume" offcourse ni kauli flani ivi ambayo ina kera ila ukifikiria sana ni kama ina make sense na ku sound ivi an, unajua mwanaume kama huna hela hasa mimi huwa naishiwa confidence kabisa ani naona kama vile ujasiri flani ivi kama mwanaume unaanza kupungua kama siyo kunitoka kabisa, ani nikiwa sina hela hata nikikutana na mdada hata kumpa hai huwa naogopa ani sitaki nao stori kabisa ani, ila nikiwa na hela sasa ma confedence yanakuja kama yote.

Kwa hiyo bhana mimi naona hawa Wadada kuna upande wako sahihi kabisa wanavyosema pesa ni nguvu za kiume
 
sio thamani tu hata wewe mwenyewe utakua huna amani, utatamani ufe mapema kabla ya mda wako
By the way ukiwa huna hela kila kitu kinaanza kukutesa, mahusiano yanayumba,hakuna anaekuthamini hata ukitoa mawazo kwenye kikao cha familia wanaweza kukuona unapiga kelele tu,utakuwa na stress nyingi ukonde wakwambie una ukimwi ikimradi tu uteseke ufe kisa huna hela, money is everything believe me
 
right bt nguvu za kiume ni muhim zaidi
 
right bt nguvu za kiume ni muhim zaidi
Ni sawa nguvu za kiume ni muhimu zaidi kuliko pesa ingawa tumekubali kuwa nguvu hizo bila pesa hazitakuwa na thamani, lakini hivi unajua kuwa kukosa pesa kukosa pesa kunaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume, unajua ni kivipi, ukiwa huna pes a inaweza kukusababishia stress/msongo wa mawazo na kama unavyojua wanasaikolojia wanakwambia kuwa stress ni moja ya chanzo kinachosababisha ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume
 
right, mkuu nalijua hilo na hata sijapinga bt nimesema nguvu za kiume ni muhim zaid coz wapo maskin wanaishi na kupata wenza wa type yao bt hata ukiwa na pesa alafu ukose hizo nguvu unadhani kuna raha gani maishani?
 
Yeah ni kweli, mabaharia wanasemaga bora ukose pesa kuliko nguvu za kiume
 
USIFANANISHE NGUVU ZA KIUME NA VITU VYA AJABU AJABU MKUU...

Jaribu kupungukiwa nguvu za kiume alafu uwe na ela utajua kipi bora
 
Back
Top Bottom