Tatizo nini hasa?

Pizy

Member
Aug 8, 2020
98
57
Habarini wanajamvi.

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 20 naishi kwa wazazi. Mimi ni kijana ambaye mcheshi na mwenye aibu katika masuala mazima ya mapenzi lakini hapo hapo m ni kijana ambaye kila sketi ipitayo napenda niidake.

Majirani na watu wasio nifahamu vizuri Wanahisi m ni mtulivu sana lakini kumbe uhalisia ni tofauti kwa sababu napend kufuatilia mambo yangu Sina story za maisha yao.

Nimeamua kuandika thread hii, Kuna vitu naviona tofauti Sana katika moyo wangu kuhusu mapenz. Nimekuwa nikiingia mwenye mahusiano mapya Mara kwa mara nimekuwa nikiyashuhudia mapenzi ya dhati kabisa japo Sina kazi, Sina pesa nimemaliza shule juzi tu...

Wataalamu wa maswala ya hisia waje wanifundishe na kunieleza vitu ambavyo vitanisaidia kuondokana na hili tatizo. Tatizo langu linalonisumbua Zaid ya miaka mingi Ni tatizo la kutokupata hisia za mapenz ya dhat unawez ukanisalit mi nachukulia poa tu. Naweza nikampenda mwanamke lakin sio mapenz ya dhat japo Sina mchepuko pisi Kali tu so nimekuwa nikiwahumiza wanawake wengi sana.

Katika umri wangu huu mdogo Zaid y wanane nimewahumiza, siipend Hali hii niliyonayo najiona mtenda dhambi Sana. Kwanini Mimi tu naumiza wenzangu?

Nahis nitakuwa na matatizo kisaikolojia, maana nahisi sio Hali ya kawaida.

NAOMBENI ushauri Nini Cha kufanya hili niondokane na Hali hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom